Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
U can't be seriousAu Burundi, wanasema hilo halituhusu sisi ni kwenda shamba tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
U can't be seriousAu Burundi, wanasema hilo halituhusu sisi ni kwenda shamba tu
Thanks my lovely babyKuna raia anaitwaPatience123 humu hebu msalimie
[emoji120] ....Mh!!!....piga hao!!!Sina la ziada. Niwatakie Jumapili njema.
Tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa Man Utd Vs Leicester City.
Hongera hii post ni #77777
[emoji15]Morning sweetie
PoleniSiku mbili hizi nilikuwa nampeleka sista hospitali kufanyiwa vipimo anaumwa.
[emoji106]View attachment 377246View attachment 377247View attachment 377248
Kwa hisani ya fix za Bitoz sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Ciao
AsantePoleni
Nshaua four, [emoji22]Hilo bomu ubalozini na kumbuka ilikuwa noma sana japo kipindi hicho nilikuwa dogo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
.
Hivi ni Kwei wana elephant wengi?Katibu mkuu ( Kim nana ) angeishi huko angekuwa tajiri sana.
Oatmeal ni vyakula vya supermarket wa uswazi hatukuelewi ujue! ....mara cereal....[emoji31]Huenda ni kweli kabisa,
Mi mtoto wangu atakuwa anakula oatmeal na vyakula vingine tu
Mi sipendi uji hivyo na yeye siwezi mpa kitu ambacho mama yake sikipendi
Wamama wa Cerelac [emoji125]Hata mi naona hivyo. Ila uji sio lazima
BoraYule mtu sio kingongo bhana nimefuatilia jukwaani ni kapuku tu
Kumbe yanga nayo inakodishwa, mimi nilijua ni maguta tu na vitu vingine, kumbe na yanga tena kwa miaka kumi [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Zipo supermarketOatmeal bongo ni ya shida labda ubakie hukohuko
[emoji124] [emoji444] [emoji443] [emoji445]Sweetiepie wajiskiaje kuwa kf mamy
Pole shem[emoji19]Yalinikosa kosa baby, sitaisahau ile siku... Ile siku nilikuwa Mbagala kizuiani kwa wifi angu.. Hatari sana.
Mambo sweetiepie[emoji7]Najisikia vizur pako free sana hadi raha...
Taarifa si nilituma hapa....rudi nyuma uisomeKumbe yanga nayo inakodishwa, mimi nilijua ni maguta tu na vitu vingine, kumbe na yanga tena kwa miaka kumi [emoji125] [emoji125] [emoji125]