Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Aug 6, 2016 #77,441 Bitoz said: View attachment 377124 Karibuni Mabibo Beach......natoa togwa kwa kila kapuku Kambale siwapi ng'o ........... Click to expand... Kwa advertisement na kusimamia kitu chako hadi kieleweke nakusifu sana
Bitoz said: View attachment 377124 Karibuni Mabibo Beach......natoa togwa kwa kila kapuku Kambale siwapi ng'o ........... Click to expand... Kwa advertisement na kusimamia kitu chako hadi kieleweke nakusifu sana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,442 Jimena said: Mi nimefundishwa kuitawala akili na mwili hivyo hakuna kitu nisichoweza kuvumilia Nafanya yote nifanyayo kwa utashi tu na sio tamaa Click to expand... Mfundishe na huyu ............
Jimena said: Mi nimefundishwa kuitawala akili na mwili hivyo hakuna kitu nisichoweza kuvumilia Nafanya yote nifanyayo kwa utashi tu na sio tamaa Click to expand... Mfundishe na huyu ............
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,443 briz said: Kumbe swetiepie keshawahiwa na werrason? Click to expand... Hahahaha Mi sjui mkuu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,942 Aug 6, 2016 #77,444 briz said: Kumbe swetiepie keshawahiwa na werrason? Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 6, 2016 #77,445 QUIGLEY said: Ana wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadake Click to expand... Aisee ntahakikisha hilo halitokei
QUIGLEY said: Ana wivu, jilinde asije jinyonga ukasaidie polisi dadake Click to expand... Aisee ntahakikisha hilo halitokei
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,446 QUIGLEY said: Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing more Click to expand... Haaaa Wana kuwaga hatari haooo
QUIGLEY said: Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing more Click to expand... Haaaa Wana kuwaga hatari haooo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Aug 6, 2016 #77,447 briz said: Dah huwez amini nimekumbuka wakati nakaribia makuyuni, ubize ulianzia kwenye gari.. Huko kote nlipita nkiwa naongea na simu Click to expand... Umepita lini?
briz said: Dah huwez amini nimekumbuka wakati nakaribia makuyuni, ubize ulianzia kwenye gari.. Huko kote nlipita nkiwa naongea na simu Click to expand... Umepita lini?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,942 Aug 6, 2016 #77,448 QUIGLEY said: Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing more Click to expand... Mapenzi wivu buana
QUIGLEY said: Acha wivu bhana huyo ni mshikaji wa jimena kwa kampani ya hapa na pale nothing more Click to expand... Mapenzi wivu buana
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 6, 2016 #77,449 Mussolin5 said: Masaki mbwembwe tu. Click to expand... Jana naibu waziri alikuwa mabibo Beach Luhaga Mpina kukagua beach, sijui alionana na bitoz au hawakuonana
Mussolin5 said: Masaki mbwembwe tu. Click to expand... Jana naibu waziri alikuwa mabibo Beach Luhaga Mpina kukagua beach, sijui alionana na bitoz au hawakuonana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Aug 6, 2016 #77,450 Szczesny said: Haaaa Wana kuwaga hatari haooo Click to expand... Wamekuwa kaka na dada hawawezi tamaniana mkuu
Szczesny said: Haaaa Wana kuwaga hatari haooo Click to expand... Wamekuwa kaka na dada hawawezi tamaniana mkuu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 6, 2016 #77,451 Szczesny said: Hahahaha Mi sjui mkuu Click to expand... Muulize..
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 6, 2016 #77,452 briz said: Naona Szczesny anabana mpaka salamu.. Khaa! Click to expand... Kazi ipo nakwambia
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,453 Jimena said: Mi nimefundishwa kuitawala akili na mwili hivyo hakuna kitu nisichoweza kuvumilia Nafanya yote nifanyayo kwa utashi tu na sio tamaa Click to expand... Umefundishwa wap hiyo!!?
Jimena said: Mi nimefundishwa kuitawala akili na mwili hivyo hakuna kitu nisichoweza kuvumilia Nafanya yote nifanyayo kwa utashi tu na sio tamaa Click to expand... Umefundishwa wap hiyo!!?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,942 Aug 6, 2016 #77,454 Jimena said: Hivi we ni TeamSzcesny au TeamBriz maana sio kwa upambe huo Click to expand... thithemi
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,455 Mussolin5 said: Mkuu utamuwa umetuonea, toa kambale watu wapate mboga. Click to expand... Kambale gharama kubwa nyie hamnui ni chakula cha kifahari huku kwetu ............ .
Mussolin5 said: Mkuu utamuwa umetuonea, toa kambale watu wapate mboga. Click to expand... Kambale gharama kubwa nyie hamnui ni chakula cha kifahari huku kwetu ............ .
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Aug 6, 2016 #77,456 werrason said: Mapenzi wivu buana Click to expand... Hasa wasaliti wana wivu sawa na mwizi asiyeweza amini mtu mwingine
werrason said: Mapenzi wivu buana Click to expand... Hasa wasaliti wana wivu sawa na mwizi asiyeweza amini mtu mwingine
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 6, 2016 #77,457 werrason said: Juzi alinambia atakuja af kapotea, af kama mkongwe yule!!! Hamjaona swaga zake??? Click to expand... Hana sifa za ugeni
werrason said: Juzi alinambia atakuja af kapotea, af kama mkongwe yule!!! Hamjaona swaga zake??? Click to expand... Hana sifa za ugeni
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,942 Aug 6, 2016 #77,458 briz said: So shekhe yule yule ndani ya kanzu mpya? Aise wakongwe wana mambo sana Click to expand... Tena aweza kuwa ndume
briz said: So shekhe yule yule ndani ya kanzu mpya? Aise wakongwe wana mambo sana Click to expand... Tena aweza kuwa ndume
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,459 Jimena said: Aisee ntahakikisha hilo halitokei Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 6, 2016 #77,460 shululu said: Ukizingatia ni Iringa moja Click to expand... Cc Szczesny