Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Punguza dharau ndo anapotekra Rais wenu wa KFHapo Beach mbu???
...........
Punguza dharau ndo anapotekra Rais wenu wa KFHapo Beach mbu???
toa japo wa kuonjaKambale gharama kubwa nyie hamnui ni chakula cha kifahari huku kwetu
![]()
![]()
![]()
............ .
OkNna safari ndefu mkuu sijui ka ntarudia njia hyo tena
Mkuuu nadhan sko kwenye kundi hiloHasa wasaliti wana wivu sawa na mwizi asiyeweza amini mtu mwingine

Kwa kambale tu bitoz hajambotoa japo wa kuonja
Itakuwa nyumbani kwao malariaHapo Beach mbu???
We acha tuKf mnatisha kwa speeeeedooo
Duuuh hatari kwa vingongoooWe acha tu
Sa ivi niko shinyanga ntaenda na musoma afu kurudi itabidi nipitie dodoma mana ntakua naenda iringa so itakua ngumu kupitia huko
Sio 4g bali ni 360gKf mnatisha kwa speeeeedooo
Kwa hiyo bitoz kila akiugua ni malaria tu?Itakuwa nyumbani kwao malaria
Nasikia Bitoz alijifichaJana naibu waziri alikuwa mabibo Beach Luhaga Mpina kukagua beach, sijui alionana na bitoz au hawakuonana
huo sasa ni ubaguzi mkuu NyangemaNitawapa mapezi yenye tope
![]()
![]()
![]()
..........
Kila la heri, wasalimie butiama hotel shinyangaSa ivi niko shinyanga ntaenda na musoma afu kurudi itabidi nipitie dodoma mana ntakua naenda iringa so itakua ngumu kupitia huko
Ndio maana mchoyo kumbeKwa kambale tu bitoz hajambo
Hawezi ugua mbu wamemzoeaKwa hiyo bitoz kila akiugua ni malaria tu?