Tushakushtukia...hahaha...we nawe mchawi kamaMshana jr
Leo pamepooza, vinginevyo ningekuwa nishafanya yanguTushakushtukia...
.........
Number 8, United Republic of Tanzania – 24.9 (31.6 wanaume – 18.3 wanawake)View attachment 376608 hahahaaaaaa! Ili msihe sema nna wasingiazia ngoja niwaletee kile wazungu wenyewe walichi andika
"Many of Tanzania´s 45 million inhabitants suffer from various major problems including poverty, hunger, violence, lack of health care facilities, spread of HIV infection etc., which contributes to the very high suicide rate in this East African country. Suicidal behavior is sadly frequent even among children and students who often try to take their lives due to family problems, stress, school failures and other reasons."
Teh teh nchi hiii jaman tuna tia huruma kila kitu cha ajab siye!!!!!
masikini Tanzania.Leo pamepooza, vinginevyo ningekuwa nishafanya yangu
Ahsante kwa top kumi. ....veeveAsanten sanaa kwa kuwa nami
Watu muhim sana nyie
Ni mimi
Szczesny Carrenza aka Field Marshal
Jana alikuwepo shabiki mmoja wa nguvu japo leo kapotea ila nlimkubali sanaa
Adioussss amigo
shabiki mwache au nikusemee???....nanii kwani sio mjuaji?Daaah
Mi mwenyewe mtu ana jua kila kitu uwa sipendeleii hahah
Kuulizwa ulizwa nako kuna raha yake![]()
![]()
![]()
![]()
KalibHodi humu ndani...
Mkuu hatuonaniAhsante kwa top kumi. ....veeveshabiki mwache au nikusemee???
Kama kawa kama dawaMambo yanakwenda!!?
Aah!!! Dogo niamkie nilikuwa na dadakoWahehe wanatudharau sana Wanyaki nahisi nyama ya mbwa inawapa kiburi
![]()
![]()
![]()
.........

Dah!!!....we acha tu, mizunguko mingi hata kuingia humu inakuwa tightMkuu hatuonani
Ukipata mahali pa kwenda kunakolipa, pambana sana mkuu hiyo ni nzuriDah!!!....we acha tu, mizunguko mingi hata kuingia humu inakuwa tight
Naona unahamu na shombo za kinyaki...Aah!!! Dogo niamkie nilikuwa na dadako![]()
![]()
![]()

Tangazo la kivu
....hiyo a bongo PapaaTangazo la kivu