Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Na siku ukimuuzi huyu scz naye atajinyingaKatika watu 10 wanaojinyonga Tanzania 6 ni wahehe 4 ndio makabila mengine

Na siku ukimuuzi huyu scz naye atajinyingaKatika watu 10 wanaojinyonga Tanzania 6 ni wahehe 4 ndio makabila mengine

Hahaaaa......Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??...
Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks.... Anakuadithia "anodi ya jini mwanzo mwisho"...
Yaani huna hata kipya cha kumfundisha...
Binti anatakiwa ukimuuliza "Bebi unamjua Rooney?? " anakujibu "Namsikia tuu.. Hivi ameimba wimbo gani?? "
Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Yaani eti babe anampenda Undertaker na Marehemu Umaga...
Binti anangaalia Movie ya Wrong Turn hata hajifichi amekodoa mimacho kuanzia mwanzo mpaka list ya majina inapita...
Babe anatakiwa ukiangalia naye Final Destination muda wote kafumba macho... Kila Mara anaongea na waigizaji... "Jamani wewe usiende utakufa huko" Mara unasikia "babe toa hii nitaota"...
Siyo Bae anakaza mdomo kabisa kwa hasira mtu akikoswakoswa kufa unamsikia kudadeki afe tu huyo anakihelehele..
BAE anatakiwa kuwa mashamba kidogo.
#BaeUshambaNiSexy.
![]()
Umenifurahisha sana.
simpendi kwa roho yangu yoteUmaskini ni mbaya sana
Tunasema tu,hatujamshika na hatuna ubavu wa kumshikaMuacheni lodi lofa apumzike

Siwezi kumuudhiNa siku ukimuuzi huyu scz naye atajinyinga![]()
Ben mimi namheshim sana, ametitahidi kuiweka sawa nchi hiiMtulie sasa![]()
![]()
![]()
Unaipendea nini nchi kama hiiNumber 2, Democratic People´s Republic of Korea – 38.5 (45.4 wanaume – 35.1 wanake)View attachment 376636 Korea ya kaskazini, moja ya nchi ambazo nazikubali na ngependa kwenda sku moja
Ina kadiriwa watu zaid ya 10000 hujiua kwa mwaka huko Korea chanzo kikiwa ni ukosefu wa demokrasia, na hali mbaya ya ki maisha ina semekana hufka kipindi familia nzima hujiua ili tuu isi kamatwe na serikali ya ki dikteta ya bwana Kim jong un
Ki fupi ukikosea mateso utakayo yapata ni bora ujiondoe mwenyewe kabla ya serikali kukuondoa kwa namna wanazo zitumia ambazo ni brutal
Ni nini shda na wewe!!?Za nini?
HahahahJirani hajambo?
HahahahaKatika watu 10 wanaojinyonga Tanzania 6 ni wahehe 4 ndio makabila mengine
DaaahBabe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??...
Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks.... Anakuadithia "anodi ya jini mwanzo mwisho"...
Yaani huna hata kipya cha kumfundisha...
Binti anatakiwa ukimuuliza "Bebi unamjua Rooney?? " anakujibu "Namsikia tuu.. Hivi ameimba wimbo gani?? "
Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Yaani eti babe anampenda Undertaker na Marehemu Umaga...
Binti anangaalia Movie ya Wrong Turn hata hajifichi amekodoa mimacho kuanzia mwanzo mpaka list ya majina inapita...
Babe anatakiwa ukiangalia naye Final Destination muda wote kafumba macho... Kila Mara anaongea na waigizaji... "Jamani wewe usiende utakufa huko" Mara unasikia "babe toa hii nitaota"...
Siyo Bae anakaza mdomo kabisa kwa hasira mtu akikoswakoswa kufa unamsikia kudadeki afe tu huyo anakihelehele..
BAE anatakiwa kuwa mashamba kidogo.
#BaeUshambaNiSexy.
![]()

Umeona eeh. Ila sometimes yanakera hahahaDaaah
Mi mwenyewe mtu ana jua kila kitu uwa sipendeleii hahah
Kuulizwa ulizwa nako kuna raha yake![]()
![]()
![]()
![]()