Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 8, United Republic of Tanzania – 24.9 (31.6 wanaume – 18.3 wanawake)
1470415492371.jpg
hahahaaaaaa! Ili msihe sema nna wasingiazia ngoja niwaletee kile wazungu wenyewe walichi andika
"Many of Tanzania´s 45 million inhabitants suffer from various major problems including poverty, hunger, violence, lack of health care facilities, spread of HIV infection etc., which contributes to the very high suicide rate in this East African country. Suicidal behavior is sadly frequent even among children and students who often try to take their lives due to family problems, stress, school failures and other reasons."
Teh teh nchi hiii jaman tuna tia huruma kila kitu cha ajab siye!!!!!
 
Number 8, United Republic of Tanzania – 24.9 (31.6 wanaume – 18.3 wanawake)View attachment 376608 hahahaaaaaa! Ili msihe sema nna wasingiazia ngoja niwaletee kile wazungu wenyewe walichi andika

90% ugumu wa maisha

..............
 
NUKUU NO 1#

Siku moja mimi na masista wenzangu tulimwokota masikini mmoja mitaani akiwa hoi kwa njaa na ugonjwa.

Tukamchukua hadi kituoni kwetu na kumlaza kitandani. Akanitazama kwa tabasamu na kusema "Asante sana" na kisha akafariki Dunia.
Niliyatafakali maneno yake hayo ya mwisho huku nikijiuliza, ni wangapi ambao wangetamka maneno yale Dakika zao za mwisho hapa duniani huku wakiwa na tabasamu usoni?

Haya yalisemwa February 4,1994 mjini Washington, Marekani na mwanzilishi wa shirika la kimataifa la Misaada ya hisani _missionaries of charity la India, Mother Teresa.

Alizaliwa Agosti 26,1910 huko Yugoslavia na kufariki Dunia September 5,1997 huko Calcutta India.

Wakati wa uhai wake Mother Teresa alitunukiwa tuzo kadhaa za heshima kwa kuthamini kazi aliyokuwa akiifanya ya kuwasaidia masikini.
Moja ya tuzo hizo ni ile ya amani ya Nobel
Huyu mama alikuwa wa aina yake
 
Numer 7, Mozambique – 27.4 (34.2 wanaume– 21.1 wanawake)
1470415750641.jpg
Msumbuji majirani zetu hawa hali yao si nzuri wakat UKIMWI na umaskini viki wandama pia wana life expectancy ndogo pengine kuliko mchi nyngne zote
Na vifo vya watu wanao jiua hufikia hata zaid ya 3000 kwa mwaka
Habar ndo hyo
 
NUKUU NO 2#

Tanzania ni ya watanzania wote. Hakuna mtu mwenye haki ya kusema 'mimi ndiye watu; wala hakuna mtanzania mwenye haki ya kusema ya kusema 'najua linalowafaa watanzania na wengine wote ni lazima wafuate '.
Mambo ya Tanzania lazima yaamuliwe na watanzania wote.

Maneno haya ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, yamo kwenye kitabu chake kinachoitwa Binadamu na Maendeleo. Wakati uhai wake Mwalimu Nyerere, tofauti na watawala wa sasa, aliandika vitabu kadhaa venye mawazo maridhawa ya namna taifa letu linavyopaswa. Alifariki Dunia Oct 14,1999
Apumzike kwa amani Nyerere wetu
 
Hasa wakuu leo naleta ishu sensitive kdogo

Kwa kuwa mimi kwetu ni Iringa na wahehe huwa tuna sifikia pia kwa kupenda kujiondoa duniani(yaan kujinyonga) na hii kitu iko duniani koteee
Hvo leo naleta mchi zinazo ongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya watu wanao jiua duniani

Yaani Countries With The Highest Suicide Rates In The World
Mmerithi kwa mkwawa
 
Number 5, Lithuania – 28.2 (51.0 men – 8.4 women)
1470416463911.jpg
hii ni nchi ambayo watu wanajiua zaid kwa upande wa Ulaya na wana sema miaka ya 1990 ilikuwa ni kama utamaduni kwani watu walijiua sanaa
Kutokana na matatizo ya kiuchumi na ki jamiii watu wa eneo hilo nao wamekuwa wakijiwahisha kunako pepo japo wanasema hali hii sasa imepungua kwa kwasi na kulifanya taifa hili li shke namba 5 kwa dunian nzima
Jambo ambalo kwao ni mafanikio makubwa
 
Kisa cha kweli mtaani kwangu.
Kuna mzee mmoja alipitia duka flani kama mara mbili na akipitia hupenda kuuliza bei na kuonfoka na muuzaji ni bidada flani hivi.
Majuzi kati alikuja tena kama kawaida, wakati anakaribia dukani kabisa, yule dada muuzaji aliongea kwa sauti but aliongea kilugha....akimwambia shoga yake kuwa huyu mzee anakuwaga msumbufu sana...huuliza tuuuu bei bila kununua, so mimi naondoka wewe umsikilize.
Yule mzee kumbe alikuwa kabila moja na yule dada hivyo aliskia asemavyo
Mdada.
Mzee kusikia hivyo...alimjibu yule dada kilugha, binti udiondoke leo ninanunua...unisamehe mwanangu sikujua kuwa huwa ninakuudhi.
Nilikuwa naulizia ili nije kununua mwanangu.
Yule binti aliona aibu sana na alimwomba msamaha yule baba.
Mpendwa, usimdharau mtu na pia mjali mteja, ukimjibu vyema leo hata kama hajanunua, ipo siku atakuungisha
Asante kwa ushauri braza.
 
Number 8, United Republic of Tanzania – 24.9 (31.6 wanaume – 18.3 wanawake)View attachment 376608 hahahaaaaaa! Ili msihe sema nna wasingiazia ngoja niwaletee kile wazungu wenyewe walichi andika
"Many of Tanzania´s 45 million inhabitants suffer from various major problems including poverty, hunger, violence, lack of health care facilities, spread of HIV infection etc., which contributes to the very high suicide rate in this East African country. Suicidal behavior is sadly frequent even among children and students who often try to take their lives due to family problems, stress, school failures and other reasons."
Teh teh nchi hiii jaman tuna tia huruma kila kitu cha ajab siye!!!!!
Katika watu 10 wanaojinyonga Tanzania 6 ni wahehe 4 ndio makabila mengine
 
Numer 7, Mozambique – 27.4 (34.2 wanaume– 21.1 wanawake) View attachment 376612 Msumbuji majirani zetu hawa hali yao si nzuri wakat UKIMWI na umaskini viki wandama pia wana life expectancy ndogo pengine kuliko mchi nyngne zote
Na vifo vya watu wanao jiua hufikia hata zaid ya 3000 kwa mwaka
Habar ndo hyo
Umaskini ni mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom