Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 2, Democratic People´s Republic of Korea – 38.5 (45.4 wanaume – 35.1 wanake)View attachment 376636 Korea ya kaskazini, moja ya nchi ambazo nazikubali na ngependa kwenda sku moja
Ina kadiriwa watu zaid ya 10000 hujiua kwa mwaka huko Korea chanzo kikiwa ni ukosefu wa demokrasia, na hali mbaya ya ki maisha ina semekana hufka kipindi familia nzima hujiua ili tuu isi kamatwe na serikali ya ki dikteta ya bwana Kim jong un
Ki fupi ukikosea mateso utakayo yapata ni bora ujiondoe mwenyewe kabla ya serikali kukuondoa kwa namna wanazo zitumia ambazo ni brutal
korea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom