Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku moja rafiki yangu alinifuata akiomba ushauri, alikuwa na matatizo makubwa sana , na kimsingi alikuwa amekata tamaa ya maisha na kujiona ana mikosi na Mungu amemwacha.Ki ukweli nilishindwa hata la kumwambia.Nikamwomba tukutane siku inayofuata....kwamba kuna ufumbuzi ninao mzuri tu ( kiukweli sikuwa na chochote kichwani)
Jioni nilitafakari sana nifanyeje, na nikapata wazo.
Nikamwambia naomba kesho tuonanane unisindikize mahali....na nikamwambia kama unahela kidogo nunua miche ya sabuni..ntakwambia cha kufanya.
Tukaingia garini...baada ya kama dk 30..akaniuliza kaka..kwani tunaenda wapi lakini? nikwamwambia usiwe na shaka ndugu..
Ghafla akaona tunaingia getini ..na Bango limeandikwa Ocean road hospitali..
Nikapita naye kuona wagonjwa na kuwapa zawadi za sabuni.
Lakini wakati tunapita kuona wagonjwa ....ghafla nikaona ananivuta mkono kwa chini chini...ni kama alikuwa ananizuia tusiendelee mbele.....sikumwelewa...
Akaninong`oneza angaliaa palee...huku akionyesha kwa macho kitanda kinachofuata...
..macho yangu yalipogonga pale kitandani ...ni nili freeze kwa sekunde kadhaa..... tulibaki midomo wazi...maana tuliona kitu kimelala kitandani na kwa haraka haraka huwezi jua kama ni binadamu jinsi kansa ilivyomharibu..
.hujui kichwa kiko wapi..pua..wala mdomo...Tukapita pale na kuendelea ....wengine hata ukiwapa pole wanakutazama tu machozi yanawatoka maana kwa wakati ule pole haina maana yeyote..
Baada ya mzunguko wote tulikuwa macho mekundu kabisa kwa uchungu.
Nikamwambia asante kwa kunisindikiza..
.naomba sasa tuongelee yale ya jana wakati tunarudi.
Akasema..no.no.no..kwanza namshukuru Mungu sana kwa haya ya kwangu...nimepona kaka...mimi sina tatizo kaka ..maaana hwa wagonjwa wasemeje sasa..akanambia kaka nimeelewa kwa nini umenileta huku..Mungu nisamehe na wape kupona hawa ndugu zetu.
Laiti kama kila mtu angetembea na Ubao wenye orodha ya matatizo yake usoni...nakuhakikishia..hayo yanayokutatiza wewe sasa...ungeona kama uko mbinguni...
Wakti wewe unalalmika na Kumlaumu Mungu amekuacha eti hujaolewa, hujaoa, huna kazi, huna nyumba, huna mtoto...
Kuna mtu muda huu yuko msituni anakwepa risasi, yuko kitandani anaoza, yuko mahututi anapumulia machine..Kuna mama mjamzito wakati huu anapoteza maisha wakati wa kujifungua..yupo baba muda huu anapiga yowe kilio cha kumpoteza mkewe...Yupo mtu anapasuka kichwa dakika hii kwa ajali ya gari
Hebu fumba macho kidogo ,tafakari..na naomba ufanye uhakiki wa hali yako.....Kama kweli ni zaidi ya haya..basi ruksa kumlaumu Mungu, Ruksa kukata tamaa..Ruksa kudhani Mungu anakuonea, Ruksa kusema Kwanini mimi tu Mungu..
HEBU SIMAMA ..SHUSHA PUMZI..SEMA ASNTE MUNGU
Acha kulalamika rafiki, Acha kumlaumu Mungu...uliyonayo ni saizi yako..Mwombe Mungu akufunulie kilichoko ndani ya jaribu lako.
. (SHARED)
Hakika ushauri murwaaaa
 
Umetania hatimaye ukampata member wa ganja...umemuuza jamaaa kaumbuka
1470233503833.jpg
Marojuana smoking
Legalize it

............
 
NUKUU NO 1#

Taifa letu ni kubwa,ni zuri na mahari pa kuishi na kuendelea kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka na wanajitambua haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa Jamii.

Na ukweli ni kuwa ni walimu, kuliko kundi lolote jingine, ndio wanaoamua mtazamo huu,na kubadili mawazo na matumaini ya Taifa.

Haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika chuo cha walimu Morogoro, mwaka 1996. Mwalimu alifariki Oct 14,1999 kwa ugonjwa wa kansa ya damu
 
NUKUU NO 2#

Jukumu la Elimu ni kumfundisha mtu kufikiri kwa kina nakwa udadisi.
Kiwango cha ufahamu ukijumlisha na wasifu wa mtu, hilo ndio lengo la Elimu.

Haya yalisemwa na mwanaharakati na mpigania haki za binadamu na kiongozi wa vuguvugu la kudai haki na usawa wa Waafrica wenye asili ya Marekani,
Martin Luther King Jr. Alizaliwa Jun 15,1929 na alifariki Dunia April 4,1969
 
NUKUU NO 3#

Elimu ni silaha yenye nguvu kubwa kuliko zote ambayo mtu anaweza kuitumia kubadilisha ulimwengu.

Haya yalisemwa na Rais wa kwanza mweusi wa Africa kusini Nelson Mandela.
Mpigania uhuru huyo alifungwa jela na serikali ya makaburu kwa miaka 27,mpaka mwaka 1990 alipofunguliwa na kuashilia mwanzo na mwisho wa ubaguzi wa rangi nchini Africa ya kusini,
Aliiongoza nchi hiyo Kati ya mwaka 1994 mpaka 1999.
Alizaliwa Julai 18,1918 na kufariki Dunia Dec 5,2013
 
NUKUU NO4#

Elimu sio maandalizi anayo fanya mtu kwa ajili ya baadaye. Elimu ndio maisha yenyewe.

Haya yalisemwa na mwanafalsafa wa kimarekani John Dewey, ambaye pia alikuwa mwanaharakati wa mageuzi ya elimu na mwanasaikolojia.

Alizaliwa Oct 01,1859 na kufariki Dunia Juni 01,1952
 
Siku moja rafiki yangu alinifuata akiomba ushauri, alikuwa na matatizo makubwa sana , na kimsingi alikuwa amekata tamaa ya maisha na kujiona ana mikosi na Mungu amemwacha.Ki ukweli nilishindwa hata la kumwambia.Nikamwomba tukutane siku inayofuata....kwamba kuna ufumbuzi ninao mzuri tu ( kiukweli sikuwa na chochote kichwani)
Jioni nilitafakari sana nifanyeje, na nikapata wazo.
Nikamwambia naomba kesho tuonanane unisindikize mahali....na nikamwambia kama unahela kidogo nunua miche ya sabuni..ntakwambia cha kufanya.
Tukaingia garini...baada ya kama dk 30..akaniuliza kaka..kwani tunaenda wapi lakini? nikwamwambia usiwe na shaka ndugu..
Ghafla akaona tunaingia getini ..na Bango limeandikwa Ocean road hospitali..
Nikapita naye kuona wagonjwa na kuwapa zawadi za sabuni.
Lakini wakati tunapita kuona wagonjwa ....ghafla nikaona ananivuta mkono kwa chini chini...ni kama alikuwa ananizuia tusiendelee mbele.....sikumwelewa...
Akaninong`oneza angaliaa palee...huku akionyesha kwa macho kitanda kinachofuata...
..macho yangu yalipogonga pale kitandani ...ni nili freeze kwa sekunde kadhaa..... tulibaki midomo wazi...maana tuliona kitu kimelala kitandani na kwa haraka haraka huwezi jua kama ni binadamu jinsi kansa ilivyomharibu..
.hujui kichwa kiko wapi..pua..wala mdomo...Tukapita pale na kuendelea ....wengine hata ukiwapa pole wanakutazama tu machozi yanawatoka maana kwa wakati ule pole haina maana yeyote..
Baada ya mzunguko wote tulikuwa macho mekundu kabisa kwa uchungu.
Nikamwambia asante kwa kunisindikiza..
.naomba sasa tuongelee yale ya jana wakati tunarudi.
Akasema..no.no.no..kwanza namshukuru Mungu sana kwa haya ya kwangu...nimepona kaka...mimi sina tatizo kaka ..maaana hwa wagonjwa wasemeje sasa..akanambia kaka nimeelewa kwa nini umenileta huku..Mungu nisamehe na wape kupona hawa ndugu zetu.
Laiti kama kila mtu angetembea na Ubao wenye orodha ya matatizo yake usoni...nakuhakikishia..hayo yanayokutatiza wewe sasa...ungeona kama uko mbinguni...
Wakti wewe unalalmika na Kumlaumu Mungu amekuacha eti hujaolewa, hujaoa, huna kazi, huna nyumba, huna mtoto...
Kuna mtu muda huu yuko msituni anakwepa risasi, yuko kitandani anaoza, yuko mahututi anapumulia machine..Kuna mama mjamzito wakati huu anapoteza maisha wakati wa kujifungua..yupo baba muda huu anapiga yowe kilio cha kumpoteza mkewe...Yupo mtu anapasuka kichwa dakika hii kwa ajali ya gari
Hebu fumba macho kidogo ,tafakari..na naomba ufanye uhakiki wa hali yako.....Kama kweli ni zaidi ya haya..basi ruksa kumlaumu Mungu, Ruksa kukata tamaa..Ruksa kudhani Mungu anakuonea, Ruksa kusema Kwanini mimi tu Mungu..
HEBU SIMAMA ..SHUSHA PUMZI..SEMA ASNTE MUNGU
Acha kulalamika rafiki, Acha kumlaumu Mungu...uliyonayo ni saizi yako..Mwombe Mungu akufunulie kilichoko ndani ya jaribu lako.
. (SHARED)
Huu ni ukweli kabisa, tujifunze kutosheka na pia tusipende kulalamika kana kwamba sisi ndio pekee wenye shida ulimwenguni
Asante werrason
 
NUKUU NO 1#

Taifa letu ni kubwa,ni zuri na mahari pa kuishi na kuendelea kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka na wanajitambua haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa Jamii.

Na ukweli ni kuwa ni walimu, kuliko kundi lolote jingine, ndio wanaoamua mtazamo huu,na kubadili mawazo na matumaini ya Taifa.

Haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika chuo cha walimu Morogoro, mwaka 1996. Mwalimu alifariki Oct 14,1999 kwa ugonjwa wa kansa ya damu
Apumzike kwa amani mwalimu
 
NUKUU NO 2#

Jukumu la Elimu ni kumfundisha mtu kufikiri kwa kina nakwa udadisi.
Kiwango cha ufahamu ukijumlisha na wasifu wa mtu, hilo ndio lengo la Elimu.

Haya yalisemwa na mwanaharakati na mpigania haki za binadamu na kiongozi wa vuguvugu la kudai haki na usawa wa Waafrica wenye asili ya Marekani,
Martin Luther King Jr. Alizaliwa Jun 15,1929 na alifariki Dunia April 4,1969
R I P Martin Luther King
 
NUKUU NO 3#

Elimu ni silaha yenye nguvu kubwa kuliko zote ambayo mtu anaweza kuitumia kubadilisha ulimwengu.

Haya yalisemwa na Rais wa kwanza mweusi wa Africa kusini Nelson Mandela.
Mpigania uhuru huyo alifungwa jela na serikali ya makaburu kwa miaka 27,mpaka mwaka 1990 alipofunguliwa na kuashilia mwanzo na mwisho wa ubaguzi wa rangi nchini Africa ya kusini,
Aliiongoza nchi hiyo Kati ya mwaka 1994 mpaka 1999.
Alizaliwa Julai 18,1918 na kufariki Dunia Dec 5,2013
R I P Tata Madiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom