Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Alikuwa wa ukweli sanaaaYap hakuwahi kutumia.
Alikuwa wa ukweli sanaaaYap hakuwahi kutumia.
Asante sana!!View attachment 375240View attachment 375241View attachment 375242
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti.
Niite Jimena Jimenes kwa magazeti tena tukutane tena kesho asubuhi, kumbuka tu ni kwa hisani ya Mussolin5 na 76k
Ciao!
Wanasema ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upangaKivipi? Hebu fafanua kidogo
Ni kweli kabisa,Wanasema ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga
PleasureAsante sana!!
Marijuana sio issueHa ha ha nahisi ganja alikuwa anatumia kasoro pombe tu
Fix hizo za AbunuwasiMbona Kigoma karibu, nishafika Ndola kwa Baiki.
We waache tu
Twashukuru mkuuAhsanteni kwa kuwa pamoja nami, sina la ziada tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa 76K.
Haya bibie Jimena karibu na wewe utambering!!
Byeee!!
Ahsante piaView attachment 375240View attachment 375241View attachment 375242
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti.
Niite Jimena Jimenes kwa magazeti tena tukutane tena kesho asubuhi, kumbuka tu ni kwa hisani ya Mussolin5 na 76k
Ciao!
Shida yako unakrem