Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ndo Wazungu wanajua kutuendesha km matoroliKuna majemedari wamepita Afrika. Ila wengi wao walikuwa ni vibaraka toka nchi za magharibi.
.........
Ndo Wazungu wanajua kutuendesha km matoroliKuna majemedari wamepita Afrika. Ila wengi wao walikuwa ni vibaraka toka nchi za magharibi.
Morning allGoodnight Felaz
Good morning family
Najua mwasisi anaitwa Mtakatifu Loyolahahaha...hapana.
Kwetu kuna togwa dayHiyo nafikiri ipo hapo Tandale
Hata bangi?Leo katika Historia:
1964 - Lucky Philip Dube anazaliwa.
Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.
+ GongoHata bangi?
Asante sana kwa historiaAhsanteni kwa kuwa pamoja nami, sina la ziada tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa 76K.
Haya bibie Jimena karibu na wewe utambering!!
Byeee!!
Ha ha ha nahisi ganja alikuwa anatumia kasoro pombe tu+ Gongo
........
Kivipi? Hebu fafanua kidogoDamu ya mtu ilimtoa uhai
Mbona Kigoma karibu, nishafika Ndola kwa Baiki.Ndege is fastest huwezi kwenda Kigoma kwa kibaiskeli utatoboka makalio
![]()
![]()
![]()
.......
wa Mchangani
Yap hakuwahi kutumia.Hata bangi?