Wacha nkasome gazeti
Mkuu una ka umriLeo katika Historia:
2006 - Martin Mbawala anafariki Dunia.
Alikuwa ni classmate wangu, vidonda vya tumbo vilimuondoa Duniani.
Leo tunaadhimisha miaka 10 toka ututoke, daima tutakukumbuka, pumzika kwa amani Kaka.
Kwa wewe kula chipsi ni sawaukweli lazima usemwe
R.i.p Fela....Fela Anikulapo Kuti ni ngoma ilimuua!!!....Dah!!! Miaka kumi na tisa!!!
Hapana Mkuu, sio huyu labda majina tu yamefanana.
Hata mie nawapendaMpenda totoz
Hao ni wa kimataifa!!View attachment 374781View attachment 374782View attachment 374783
Size yetu Malawi
..................
Hasara kubwa sana!!Baba na mwana wapuuzi....wamelitia hasara Taifa lao
.....
Hiv mkuu njaa ya saa 7 ya usiku imekushika utaacha kugonga kiepe, mie si mpenz wa huu msosi, ila sikatai huwa nakula japo kishingo upande.. Kutokana na mazingira.Anaye tetea chpsi hayuko sahihi
Pengine hujawahi kumjua Bush Mkubwa vizuri, japo alikuwa Rais wa Kipindi kimoja ila ni miongoni mwa Marais mafia kuwahi kuongoza Marekani pia alishakuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani ( C.I.A. )Bush mtoto ndio kamanda
Nilikuwa nakula ila nimeacha mwezi wa 8 huu sijala chipsiHuwa huli chips au?
Anakula faida yake aliyoichuma kwa dhurumaHasikiki kabisa, kama vile hayupo
Hii ni mbagala ya wapi, nigeria au!!?View attachment 374846.........
Jamaa wapo vizuri sana hasa kwenye anga.Moja ya majeshi nnayoyakubali sana
Ahsante mkuu, tuko pamoja.Polen sana
Alafu shukran kwa mambo ya history
Mayonaiz, weka tomato nyingTeam chipsi yai soseji juisi ya ukwaju
.........
Kisasi ni ushetani!Na kisasi kikafanikiwa vyema kabisa
Hahaa... Himena kama nakuona vile unafakamia viepe..Yani ukiona mpaka chakula kina emoji yake basi ujue sio cha mchezo
Asante kwa magazetiView attachment 374773View attachment 374774
Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka katika meza hii ya magazeti iliyowajia kwa udhamini wa yule Rais mzalendo wa Marekani alietawala kwa siku 30 tu
Niite Jimena Jimenes
Muwe na siku njema
Wakamuua na Saddam ambaye ni Rais wa Kuwait.Na kisasi kikafanikiwa vyema kabisa