Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inaelekea halipi
1469821099421.jpg

Jimena
1469821126074.jpg

Chausiku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
 
Number 5, Elton John – 162 Million View attachment 373044mzee wa sacrifice,mzee wa nyimbo kali za mapenzi na za taratibu huyu ni msanii solo ambaye kauza zaid uingereza ni mtengenezaji wa kazi ya sanaa ilo uza zaid uingereza akishka namba mbili nyuma ya the beatles
Mnamo mwaka 1997 wimbo wake wa “Candle in the Wind,” uliuxa nakala 33 milioni ni singo pekee kuuza zaid duniani
Lakin pia huyu ana yale mambo ya kina james delicious au kaoge wa zamaradi kwa hiyo mimi huwa na pretend kama ha exist duniani na leo na pretend kama nme toa top 9
Dah... Mzee ana mifweza, title kubwa, lakini ni mchokozi.
 
Number 1, The Beatles – 265 Million View attachment 373066 una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz

Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
Bitoz..... Plz ukuje kwa huku
 
Na jimena je?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jimena anakamata nafasi ya 0.

Huyu kauza zaid ya kopi 570 milion.. Takwimu nyingine zinasema ni kopi milion 1000 yaan bilion moja = 1/7 ya watu wote duniani, Nyimbo yake matata ya once a kapuku always kapuku, toka itolewe imeshika chati katika chati za JF na haijawahi kushuka, kila siku inazidi ubora, na ndio songi inayoongozwa kwa kupigwa kopi zaid, kama vile wakongwe forum n.k.

Bitoz.. Picha puliziiii
 
Back
Top Bottom