shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Haaaahaaaa,ukweli mtupu
Haaaahaaaa,ukweli mtupu
Haha Kwa kuhudhuria tu misiba jamaa hana mpinzani kwa kweli
Tuko poa,za siku mbili tatu hiviMambo niaje wadau?
Alikuwa asisikie msiba.....huyooooo utafikiri hana wawakilishiHaha Kwa kuhudhuria tu misiba jamaa hana mpinzani kwa kweli
Drogba sijui tulimfanya nini sisi washika bunduki...
Fresh tu mkuu.. Vip wewe goliaZa jioni wakuu
Nzuri, vp weweZa jioni wakuu
Daaah hiii ntaipitia tu
Nakusalimu mkuuVitu vingine wanaume tunasingiziwa tu hahahahaaha chalii anataka kuua mdogo wake kwa kumbana pumzi...Nakusalimia dada...
Number 10 Celine Dion –125 Million View attachment 373017 ana kadiriwa kuuza zaid ya nakala 125 milion za muziki na menejment yake ina dai kuwa kauza nakala zaid ya milioni 200 za album yake mwaka 1996 aliweka rekodi ya album ya lugha ya kifaransa iliyo uzwa zaid katika album yake ya D’eux kwan kwa uingereza tuuu aliuza nakala zaod ya milioni 1
SafiDaaah hiii ntaipitia tu