Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na navyopenda icecream [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji511] njoo uchukue
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na navyopenda icecream [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji511] njoo uchukue
Hiyo emoji ya kiume. Weka hii [emoji126][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na navyopenda icecream [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mbona sjaielewa Basi hua natumia sana ile [emoji115] [emoji115] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hiyo emoji ya kiume. Weka hii [emoji126]
[emoji126] [emoji126] [emoji125] [emoji125]Mbona sjaielewa Basi hua natumia sana ile [emoji115] [emoji115] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
[emoji86] [emoji86] [emoji86] kuja hapa[emoji126] [emoji126][emoji126] [emoji126] [emoji125] [emoji125]
[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji86] [emoji86] [emoji86] kuja hapa[emoji126] [emoji126]
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18][emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji519] basi njoo wewe[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Sauti ile ndio inayompa heshima mjini hivyo ni vizuri akiitunzaSana, kuna kipindi nlikua nacheki documentary yake yan huwa anakaa kwenye chumba flan hivi kama anafanyiwa steaming anadai ni kuzidi kuilanisha sauti yake, anathamini sana sauti yake aisee na naskia aliwah kuiwekea sauti yake insurance
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] nalala[emoji519] basi njoo wewe
Papai ukilikata katikati unaona nini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wivu wa papai ndo upi??
[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] nalala
Acheni undeziNimempenda sana aisee
Weekend iko poa sana mshkajiWikend inakwendaje mkuu?
Nawapenda sana mlale unono[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42][emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
Wasanii wa kibongo wenye sauti nzuri wana haja ya kujifunza kumaintain sauti zao ka huyo mamaSauti ile ndio inayompa heshima mjini hivyo ni vizuri akiitunza
Umepangilia vizuri sana hiyo storiFIX ZA BITOZ VIII:
Bitoz Nyangema km kawa akitamaring pande za Mabibo Beach na kuvizia vitoto vya Loyola vyenye nyodo!!! Basi bhana nikapiga T-shirt ,jeans na raba za kuazima(siyo km za Th Name) huyoooo hadi relini nikatimba gari za Mabagala kupiga middle kwa best wangu Side Mnyamwezi(haachi ht Vikudwi)
Sasa nikiwa kwenye basi nimekaa Mara kikaingia Kishkwambi kikasimama mbele yangu kikaanza kunikodolea macho ya kunizimia nikajifanya sikaoni,basi kufika Tazara si kakanipa simu eti nimshikie(kwani mzito?)
Basi mtoto wa mjini nikamshikia zen nikaweka # yangu nikabeeeeep....duh kumbe kinashuka pale Kiwalani hivyo kilinipa kusudi tu
Sasa nikafika Mbagala nikampa stori Side Mnyamwezi akacheka akaniambia umeokota embe mwanangu Kishkwambi kinakutaka hicho......basi baada ya mastori yetu nikageuza
Mara kisimu changu cha mchina kikazimanjiani so kufika home nikaweka kwenye chaja
Usiku wa saa 2 kukiwasha si nakuta meseji kibao kutoka kwa yule Toto akazuva anaitwa Winnie .....baada ya hapo ukawa ndo mwanzo wa tokoto letu na siku za baadaye nikagundua anaitwa Chausiku anakaa Mabibo hukuhuku ni mtoto wa mama ntilie maarufu
Hadi now Chausiku ni demu wangu na simuachi ng'o hata mkinicheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....................