Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 8, Eagles – 130+ Million
1469810205044.jpg
Despite what Aerosmith might claim, according to the official numbers the Eagles are the biggest-selling American band of all time, with an estimated total of over 150 million records worldwide, which seems to be realistic if one takes into account that their certified album sales are over 130 million with a little more than 100 million of those in the US alone. Their Greatest Hits (1971–1975) shares the top spot with Michael Jackson’s Thriller as the best-selling album ever in the US with 29 million copies sold and is one of the highest-selling albums globally with 45 million copies sold worldwide.
 
Number 9, Mariah Carey – 130 Million View attachment 373022 huyu ndie msanii wakike ambaye mimi namoe da kuliko woote yaan nna mmind ki ujwl ukwl yaan
Huyu ana fahamika kwa kufanya duet na Boyz II Men, ilo itwa “One Sweet Day,” ambayo ilikaaa kwenye namba 1,ya Billboard Hot 100, kwa wiki 16 na ikaweka rekodi mpaka leo ambayo haija futika
Na pia ana nyimbo 8 tofaut ambazo zime shka namba moja kwenye chati za muziki huko US kitu amacho ni rekodi kwa msanii yeyote wa kike
Yeye kauza nakala milion 130 ya kazi zake
1469810491151.jpg
1469810495704.jpg
1469810514021.jpg
 
Hata mi namkubali sana mwanamama huyu
 
Number 8, Eagles – 130+ Million View attachment 373024 Despite what Aerosmith might claim, according to the official numbers the Eagles are the biggest-selling American band of all time, with an estimated total of over 150 million records worldwide, which seems to be realistic if one takes into account that their certified album sales are over 130 million with a little more than 100 million of those in the US alone. Their Greatest Hits (1971–1975) shares the top spot with Michael Jackson’s Thriller as the best-selling album ever in the US with 29 million copies sold and is one of the highest-selling albums globally with 45 million copies sold worldwide.
1469810908828.jpg
1469810921624.jpg
1469810928627.jpg
 
Number 5, Elton John – 162 Million
1469811010249.jpg
mzee wa sacrifice,mzee wa nyimbo kali za mapenzi na za taratibu huyu ni msanii solo ambaye kauza zaid uingereza ni mtengenezaji wa kazi ya sanaa ilo uza zaid uingereza akishka namba mbili nyuma ya the beatles
Mnamo mwaka 1997 wimbo wake wa “Candle in the Wind,” uliuxa nakala 33 milioni ni singo pekee kuuza zaid duniani
Lakin pia huyu ana yale mambo ya kina james delicious au kaoge wa zamaradi kwa hiyo mimi huwa na pretend kama ha exist duniani na leo na pretend kama nme toa top 9
 
Number 4, Madonna – 166 Million
1469811420294.jpg
yuko kwenye kitabu cha rekodi za dunia kwa kuwa msanii wa kije aliye uza nakala nyingi zaid duniani na pia yeye ana dai kauza nakala zaid ta milioni 200 lakin vyeti vya masoko vinaonesha kuwa ana pungua kidoogoo kwenye nakala 170 milioni
 
Number 5, Elton John – 162 Million View attachment 373044mzee wa sacrifice,mzee wa nyimbo kali za mapenzi na za taratibu huyu ni msanii solo ambaye kauza zaid uingereza ni mtengenezaji wa kazi ya sanaa ilo uza zaid uingereza akishka namba mbili nyuma ya the beatles
Mnamo mwaka 1997 wimbo wake wa “Candle in the Wind,” uliuxa nakala 33 milioni ni singo pekee kuuza zaid duniani
Lakin pia huyu ana yale mambo ya kina james delicious au kaoge wa zamaradi kwa hiyo mimi huwa na pretend kama ha exist duniani na leo na pretend kama nme toa top 9
1469811804687.jpg
1469811809784.jpg
1469811815001.jpg
 
Number 3, Michael Jackson – 175 Million
1469811633045.jpg
king of Pop , the best that ever was, kwangu ni msanii bora wa muda woote na hakuna atakaye kuja kufanya nibadili admiration yangu kwake
Japo familia yake na washabiki wake wana sema aliuza zaid ya nakala milioni 400-750 wataalam wana sema hapo wamezidisha
Huyu ni msanii aliye toa album bora kuliko zote dunian katika mauzo (Thriller), video ya music iliyo uzwa sana kwa muda wote, na pia ni mwana muziki akiye pata tuzo nyingi kuliko woote walio pata kuwapo.
Michael kwangu ni zaid ya msanii
RIP Michael[emoji24]
 
Number 2, Elvis Presley – 210 Milion
1469812063815.jpg
uyu simply ana itwa "The King" huyu bdiye msanii wa kwanza kabsa kuuza nakala zaid ya milion 200 zilizo thibtshwa na hapo uthibitsho ulianza mwaka 1958 ukiacha album nyingi tuu ambazo aliuza sana
Huyu ndiye msanii anaye ongoza kwa kupata tuzo nyingi za album bora kuliko wasanii wote dunian
 
Number 9, Mariah Carey – 130 Million View attachment 373022 huyu ndie msanii wakike ambaye mimi namoe da kuliko woote yaan nna mmind ki ujwl ukwl yaan
Huyu ana fahamika kwa kufanya duet na Boyz II Men, ilo itwa “One Sweet Day,” ambayo ilikaaa kwenye namba 1,ya Billboard Hot 100, kwa wiki 16 na ikaweka rekodi mpaka leo ambayo haija futika
Na pia ana nyimbo 8 tofaut ambazo zime shka namba moja kwenye chati za muziki huko US kitu amacho ni rekodi kwa msanii yeyote wa kike
Yeye kauza nakala milion 130 ya kazi zake
Na jimena je?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Number 3, Michael Jackson – 175 Million View attachment 373056 king of Pop , the best that ever was, kwangu ni msanii bora wa muda woote na hakuna atakaye kuja kufanya nibadili admiration yangu kwake
Japo familia yake na washabiki wake wana sema aliuza zaid ya nakala milioni 400-750 wataalam wana sema hapo wamezidisha
Huyu ni msanii aliye toa album bora kuliko zote dunian katika mauzo (Thriller), video ya music iliyo uzwa sana kwa muda wote, na pia ni mwana muziki akiye pata tuzo nyingi kuliko woote walio pata kuwapo.
Michael kwangu ni zaid ya msanii
RIP Michael[emoji24]
1469812632884.jpg
1469812638761.jpg
1469812645010.jpg
 
Number 1, The Beatles – 265 Million
1469812346914.jpg
una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz

Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
 
Back
Top Bottom