Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umepangilia vizuri sana hiyo stori
1469820545993.jpg

Mwanzo nilivyomleta gheto alizuga hanywi togwa wkt kwao wanakalia stuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
 
FIX ZA BITOZ VIII:
Bitoz Nyangema km kawa akitamaring pande za Mabibo Beach na kuvizia vitoto vya Loyola vyenye nyodo!!! Basi bhana nikapiga T-shirt ,jeans na raba za kuazima(siyo km za Th Name) huyoooo hadi relini nikatimba gari za Mabagala kupiga middle kwa best wangu Side Mnyamwezi(haachi ht Vikudwi)

Sasa nikiwa kwenye basi nimekaa Mara kikaingia Kishkwambi kikasimama mbele yangu kikaanza kunikodolea macho ya kunizimia nikajifanya sikaoni,basi kufika Tazara si kakanipa simu eti nimshikie(kwani mzito?)
Basi mtoto wa mjini nikamshikia zen nikaweka # yangu nikabeeeeep....duh kumbe kinashuka pale Kiwalani hivyo kilinipa kusudi tu

Sasa nikafika Mbagala nikampa stori Side Mnyamwezi akacheka akaniambia umeokota embe mwanangu Kishkwambi kinakutaka hicho......basi baada ya mastori yetu nikageuza
Mara kisimu changu cha mchina kikazimanjiani so kufika home nikaweka kwenye chaja
Usiku wa saa 2 kukiwasha si nakuta meseji kibao kutoka kwa yule Toto akazuva anaitwa Winnie .....baada ya hapo ukawa ndo mwanzo wa tokoto letu na siku za baadaye nikagundua anaitwa Chausiku anakaa Mabibo hukuhuku ni mtoto wa mama ntilie maarufu
Hadi now Chausiku ni demu wangu na simuachi ng'o hata mkinicheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....................
Chausiku wa Bitoz
 
Back
Top Bottom