Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Basi hakuna shidaGharama kubwa bhana tunabana matumizi, endeleeni kupanda mitumbwi
Basi hakuna shidaGharama kubwa bhana tunabana matumizi, endeleeni kupanda mitumbwi
Mapema kabisa mkuu ili ikiwezekana tuwahi kutoka mapema kabla haijachanganywa na maji....Inaelekea umeingia ofisn tayr
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi leo ntaingia saa 3, nimechoka sanaMapema kabisa mkuu ili ikiwezekana tuwahi kutoka mapema kabla haijachanganywa na maji....
Pole sana mkuu......Pamoja..[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi leo ntaingia saa 3, nimechoka sana
Poa mkuuHabari zenu makapuku
Leo katika Historia:
1930 - Uruguay yashinda Kombe la Dunia katika michuano ya kwanza kabisa ya Kombe la Dunia iliyofanyika kwao Montevideo, Uruguay.
Leo katika Historia:
1956 - Rais Dwight D. Eisenhower wa Marekani anasaini muswada wa kutumia maneno " In God We Trust " kama kaulimbiu ya Taifa la Marekani.
Nenda kasome page 1 post 1-3 ukijiridhisha utawekwa kwenye listAnother upcoming KAPUKU...hodiiiiii
Leo katika Historia:
1966 - England yashinda kombe la Dunia baada ya kumfunga Ujerumani mabao 4-2 baada ya Extra time.
Michuano hiyo ilifanyika Kwao England, Na huo ndio ubinhwa pekee waliofanikiwa kutwaa mpaka leo.
Leo wanatimiza miaka miaka 50 baada ya kutwaa ubingwa huo. Baadhi ya mastaa waliocheza fainali hiyo ni pamoja na Sir Bobby Chalrton, Nahodha Bob Moore, Mfungaji wa mabao matatu ya England siku ya fainali, Sir Goeff Hurst.
Hahahahahahahahahahaha hii habari umenichekesha sanaLeo katika Historia:
1966 - England yashinda kombe la Dunia baada ya kumfunga Ujerumani mabao 4-2 baada ya Extra time.
Michuano hiyo ilifanyika Kwao England, Na huo ndio ubinhwa pekee waliofanikiwa kutwaa mpaka leo.
Leo wanatimiza miaka miaka 50 baada ya kutwaa ubingwa huo. Baadhi ya mastaa waliocheza fainali hiyo ni pamoja na Sir Bobby Chalrton, Nahodha Bob Moore, Mfungaji wa mabao matatu ya England siku ya fainali, Sir Goeff Hurst.
Hello iron lady!Hahahahahahahahahahaha hii habari umenichekesha sana
Kumbe walitwaa miaka 50 iliyopita?? Pole sana kwa mashabiki wote wa England