shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kwema kabisa, vp pande hizoKwema mkuu, habari za huko
Kwema kabisa, vp pande hizoKwema mkuu, habari za huko
Tumeamka salamaKwema kabisa, vp pande hizo
Hebu funguka tujue mkuuNani anajua hii?View attachment 373196
Kwa akili zangu nahisi ni daraja + andaki lililozamishwa majini hadi nchi kavuNani anajua hii?View attachment 373196
Hebu funguka tujue mkuu
Mzee fix, habari za pande hizo mkuuKwa akili zangu nahisi ni daraja + andaki lililozamishwa majini hadi nchi kavu
...............
KaribuMorning
NjemaMzee fix, habari za pande hizo mkuu
[emoji106]Njema
..........
Mkuu unaadimika sana...Nowhere to be seen..[emoji106]
Ni kweli ninaadimika sana kwani nimetingwa sana mkuu, japo huwa napita asubuhi na usiku kidogo.Mkuu unaadimika sana...Nowhere to be seen..
Mkuu kimbiza mchaka mchaka kama fursa ipo hakuna namna ingine kabisa...Pande hizi ni poa sana hakuna cha kulaumu hakika..Ni kweli ninaadimika sana kwani nimetingwa sana mkuu, japo huwa napita asubuhi na usiku kidogo.
Habari pande zako mkuu
Hakika nakimbiza, nikipataga fursa huwaga sina utani mkuuu.Mkuu kimbiza mchaka mchaka kama fursa ipo hakuna namna ingine kabisa...Pande hizi ni poa sana hakuna cha kulaumu hakika..
Bado uko pande zile?Mkuu kimbiza mchaka mchaka kama fursa ipo hakuna namna ingine kabisa...Pande hizi ni poa sana hakuna cha kulaumu hakika..
Hilo ni Sweden and Denmark bridge ambalo limepita chini ya majiHebu funguka tujue mkuu
Kabisa kabisa mkuu wangu....Bado uko pande zile?
Inaelekea umeingia ofisn tayrKabisa kabisa mkuu wangu....
Aaaa kweli mkuu.Hilo ni Sweden and Denmark bridge ambalo limepita chini ya maji
Na sisi tutajenga kutoka nyamagana mpaka ukereweAaaa kweli mkuu.
Gharama kubwa bhana tunabana matumizi, endeleeni kupanda mitumbwiNa sisi tutajenga kutoka nyamagana mpaka ukerewe