Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante sana kwa hii busaraTop 10 hzooo zna kuja wakuuu
Na leo tuna endeleza tulipo ishia jana kwenye
Most Brutal Torture Techniques Ever Devised in History
Karibuni tufurahie kwa pamoko
+ Fix za Bitoz
Guillotine
View attachment 372013
Hii ilikuwa kitu chenye ncha kali kama wembe lakini kikukvwa na cha chuma kina tumika
Mtu alikuea ana wekwa kwenye ubao ana lazwa na li jembe hilo lina achiwa kwa nguvu na kumkata kichwa , kiuno or what ever
Wana sema hii ilikuwa ni njia ya kumuua mtu kwa heshima kwan maumivu yalikuwa machache (siyo kwamba huumii una umia sana tena ila si sana kama njia nlizo tangulia kuonesha jana) na pia ilikuwa mtu ana kufa ndani ya dakika kadhaa hvo kwa watu walio waonea huruma kitu hiyo ilitumika
Maeneo kama ulaya , quing dynast na ancient Korean kingdoms (baekje,silla,Gugryeo etc) wali zitumia
HayaUkisema hilo neno bebi usikose kumalizia na mtarajiwa kwasababu mambo yanaweza kugeuka
You are a real strikerHaha Mia.., unajua ukishakaribia golini ujanja ni kutupia kwanza hata kama ulishafaham ni offside mambo mengine ya kuskiza kipenga huwa yanafuatia baadae
Habari dadakeHii kazi kuipata napo ni ndoto
The Rack
View attachment 372019
Hii bwana iliwekwa ku dislocate joint zoote za mtuhumiwa , kwa hiyo mtu alifungwa mikono na miguu na watu walikuwa wakizi nyonga/wakizivuta/wakizizungusha mpaka waone maungio yote ya miguu na mikono yamehama na walikuwa ili kama kweli wame ku dislocate wana fanya kuhakikisha kwa ku nyonga kamba hadi miguu au mikono igeuke kabisa
Ni Kwei [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo !
....au kanzu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Bora angevaa dera tu
Tongue Tearer
View attachment 372046
Hii ilikuwa ki toa ulimi, wali kuwa wana weka mashine inayo fungua mdomo kwa nguvu, halafu inaingizwa hii kitu kwa ulazima na ikisha kamata ulimi wana iforce kwa nguuvuu na wana ukoroga ulimi halafu wana ung'oa. Maumivu yake utasimulia hadi akhera nakwambia
Nitarudi na nitapokea kijiti cha kukimbiza posts dadake, kwa sasa nko bize sana, natoka asubuhi sana na kazini nko bize sana, narudi late sana but next week ntaweza pata nafasi kiduchu.
Rat Torture
View attachment 372048
Kukaa na panya tuu jamani ni shida na kwa wale wenzangu walo wahi ku ng'atwa na panya wana jua anavo toboa
Sasa hapo walikuwa wana mchukua mtu wana mfungia kama ki jumba flan hivi kidogo maeneo ya tumbo (au sehem yyte watakayo amua) halafu walikuwa wana weka moto kwa juu ya hiko kijumba (mara nyingi cha bati) sasa ili panya akimbie huo moto ilitakiwa aazime njia kwa kumtoboa huyo mtu (kama vile ambapo huwa ana chimba shimo) hadi afanikiwe kutoka ili kukimbua huo moto