Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,402
Hii jeki mmh
Hii jeki mmh
Bora angevaa dera tu
Labda akizeekaMvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo !
Hii jeki mmh
Titi limekizidi kichwaBora angevaa dera tu
Hahaha..kawaida mkuu..vipi lakini?Hongera
Naona siku hizi ni mwendo wa rangi tu
Hahaha..habari mkuu??aiseee! Yani amekuwa ni wa marangi rangi kama Genta vile....
Rafiki wa Bitoz huyu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu,umeshamvisha Pete..harusi lini??
Mkongwe huyu bila Shaka..View attachment 371942
Kunguru wa Uswaz...wezi wa mavazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Mkongwe huyu bila Shaka..
Najaribu kupata picha hiyo suruali ilimtokaje kunguru akaipata..View attachment 371949
Nahisi ni swahiba wa Ngedere coz akili zao zinafabana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..............
Siku meli zitakapoletwa Lake Mabibo kutoa huduma na togwa zikianza kuuzwa supermarketMkuu,umeshamvisha Pete..harusi lini??
Alikuwa chooni anashusha mzigo....vyoo vya passport sizeNajaribu kupata picha hiyo suruali ilimtokaje kunguru akaipata..
Kwa huu mwendokasi nadhani bado kidogo tu..hahahSiku meli zitakapoletwa Lake Mabibo kutoa huduma na togwa zikianza kuuzwa supermarket
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
Jahahaha..vyoo visivyo na bati??Alikuwa chooni anashusha mzigo....vyoo vya passport size
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji12] [emoji12] [emoji12]