Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,529
- 40,666
Kwa mikono miwili[emoji12]Imekugusa?
Kwa mikono miwili[emoji12]Imekugusa?
Watu muko na munenoo!
Sasa tungei-hold hiyo nafasi mpaka atokee?We hata hufai
NdioSasa tungei-hold hiyo nafasi mpaka atokee?
Anafaa kwenye usaliti[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We hata hufai
We hukufanya jitihada za kumtag angekuja tuHayupo sasa, kama angekuepo mbona goli lilikua waz kabisa
Hahaha bado sijamfikia Mussolin5 na Jimena lakinMwizi! a.k.a. straika mviziaji
Ulitakiwa uzuie post zote kwa ajili ya bebi wake mtu.[emoji85]Hayupo sasa, kama angekuepo mbona goli lilikua waz kabisa
Anastahili pongezi kwakweli....hongera kwa kutuotea!!!
Yethi[emoji106]Sasa tungei-hold hiyo nafasi mpaka atokee?
Halafu uitupie wewe.. HahaNdio
AbsolutelyAnafaa kwenye usaliti[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo mbona umempiga tobo???[emoji15]Hahaha bado sijamfikia Mussolin5 na Jimena lakin
Utakuta mwenyewe yupo offline labda na kwa tulipofikia ilikua ngumu kumsubiri, lakin bado zipo nyingi sana tutamwachia tuWe hukufanya jitihada za kumtag angekuja tu
Ukisema hilo neno bebi usikose kumalizia na mtarajiwa kwasababu mambo yanaweza kugeukaUlitakiwa uzuie post zote kwa ajili ya bebi wake mtu.[emoji85]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Halafu uitupie wewe.. Haha
Umeona eeh!!!Anastahili pongezi kwakweli