Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hata kama angempigia chumbani pia sio sawaAmeharibu sana Mopao, asingempiga hadharani vile
Hata kama angempigia chumbani pia sio sawaAmeharibu sana Mopao, asingempiga hadharani vile
Asante na kwako piaPoa poa nakutakia kheri sana
Habari ya kuadimika?Nawasalimu wakuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uko sahihi sana Tanga ndio mahaba yalikozaliwa
U hali gani mkuu?Nawasalimu wakuu
Hadharani ni kumdhalilisha zaid japo na chumbani sio sawa piaHata kama angempigia chumbani pia sio sawa
Naona kila mtu anavizia, watu wanasubiria mpaka ifike 73990 ndo waje kwa fujo [emoji3][emoji3]Navizia kutupia ya 74k
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
..........
Ameen!Asante na kwako pia
Mopao anakuwanga na temperAmeharibu sana Mopao, asingempiga hadharani vile
Niko poa mkuu, majukumuU hali gani mkuu?
Hii kazi kuipata napo ni ndotoNimetoka interview hapa ya job flani hivi...
Wameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house"""
wameniambia ningojee watanipigia sim [emoji336]
[emoji310][emoji161] [emoji165]
Good afternoon, asanteni kwa maombi yenu