EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,194
- 25,535
Watoto wa siku hizi na maswali.Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo !