Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Poa sana, mambo vipi?dah sjaingia uku longi ...ila mzuka sana mamboz makapuku

Asante sana jimenaView attachment 370139View attachment 370140
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa jonax na Riwaya nami nakusanya kila kilicho changu basi ili niweze kumpisha @mussolin 5 arithi kiti hiki. Nawatakia jumapili njema wote
Karibu mkuuAsante sana jimena
Asante sanaView attachment 370139View attachment 370140
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa jonax na Riwaya nami nakusanya kila kilicho changu basi ili niweze kumpisha @mussolin 5 arithi kiti hiki. Nawatakia jumapili njema wote
Nimekuachia uwanja ili uje kutambaringAsante sana
Wakaona tu wayaite black July sijui kwanini sio red July wakati wamemwaga damu vilivyoLeo katika Hostoria:
1983 - Kunatokea machafuko nchini Sri Lanka yaliyojulikana kama " Black July " ambapo watu takribani 4000wanapoteza maisha na inasababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Leo katika Hostoria:
1983 - Kunatokea machafuko nchini Sri Lanka yaliyojulikana kama " Black July " ambapo watu takribani 4000wanapoteza maisha na inasababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Happy Birthday KeownLeo katika Historia:
1966 - Martin Keown anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Timu ya taifa ya England.
Leo katika Historia:

Happy birthday Jlo ngoja nikalete moja katika ya nyimbo zake zinazonigusa zaidiLeo katika Historia:
1969 - Jenifer Lopez anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka.nchini Marekani ambae pia hujulikana kama " J-Lo "