R I PLeo katika Historia:
2012 - Robert Ledley anafariki Dunia.
Ni mgunduzi wa kifaa cha Ct Scan toka nchini Marekani.
Leo katika Historia:
1983 - Danielle De Rossi anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka klabu ya As Roma na timu ya taifa ya Italy.
Ni kiungo wa shoka ambae anacheza kama kiungo mkabaji.
Ametwaa kombe la dunia mwaka 2006.
Huyu si alikuaga CDM kwa mamvi huyu??? Khaaa!
Leo katika Historia:
1982 - Elisabeth Moss anazaliwa.
Ni mwigizaji toka Hollywood nchini Marekani.
Asante sanaView attachment 370139View attachment 370140
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa jonax na Riwaya nami nakusanya kila kilicho changu basi ili niweze kumpisha @mussolin 5 arithi kiti hiki. Nawatakia jumapili njema wote
Hata mimi nimeshangaaWakaona tu wayaite black July sijui kwanini sio red July wakati wamemwaga damu vilivyo
Leo katika Historia:
2012 - Robert Ledley anafariki Dunia.
Ni mgunduzi wa kifaa cha Ct Scan toka nchini Marekani.
Alikuwa beki katili sana katika ubora wakeHappy Birthday Keown
Haya leteHappy birthday Jlo ngoja nikalete moja katika ya nyimbo zake zinazonigusa zaidi
Jennifer Lopez ft Fat Joe wimbo unaitwa hold you down
Happy birthday JLo
Hawa ndiomashujaa wasioimbwa!!R I P
Kupitia yeye watu wamekuwa wakijua matatizo yao kadha wa kadha kupitia kipimo hiki
Leo katika Historia:
2012 - John Atta Mills anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 3 wa Ghana.