Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ntakuja ck moja, mwanza laifu simpo sanaaaa...naowaogopa watoto wa mbwa( machokoraa)Hahahaa... Usijali, wapo wa kutosha. Karibu kaka.
Hawa ni hatari sana.
Siku moja walimnyang'anya mzee wa kisukuma radio alokuwa asikiza mpira karibu na skio na kusepa nayo kuelekea ziwani.
Mzee kajifanya kuwafukuzia
Matokeo yako wakamvua viatu, suruali na shati wakakaingia ziwani ktkt kwa mtumbwi..mzeee alilia balaa

