briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Wabongo noma sijui baada ya mwaka mmoja hayo mabasi yatakuaje
Wabongo noma sijui baada ya mwaka mmoja hayo mabasi yatakuaje
Sasa kwanini hiyo safari asiende tu na pikipiki yake?Labda ana safari ataunganisha juu kwa juu
Yatakuwa hayatamaniki. Chezea bodaboda kupandishwa humo humoWabongo noma sijui baada ya mwaka mmoja hayo mabasi yatakuaje
Sasa huyo binti si ataolewa na vitoto vinavyonunua ice cream
Nzuri, habari yako?Za jioni makapuku
Ngoja wenyewe wajeYani Inafika Kipindi Manchester United inaitwa
Man4ngo dah
Tusifike Huko Wanetu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nzuri kabisa, tunakula weekend tuNzuri, habari yako?
Kwema, karibu mkuuWakuu kwema huku!!!
Habari ya kindeziMwanariadha mwenye kasi zaidi Duniani anayeshikilia ubingwa wa Dunia na ule wa Olympic Usain Bolt,bado hajakata tamaa ya kuitumikia Manchester United.
Bolt amejisifu kuwa anajua kucheza soka na anauweza kwa kiasi kikubwa sana, isipokuwa riadha ilimtoa mapema.
Je akisajiliwa Manchester United atacheza no? Au atakuwa anakimbia kimbia tu?
Cc,jimena, bitoz
yap, nilirithi toka kwake!!Ndio uliporithi jina nini??
Dah sasa angeonganisha tu straight bila kuingia church?Labda ana safari ataunganisha juu kwa juu
Kwema,Wakuu kwema huku!!!
Bongo nyosso
Bolt ye angekimbia tu maswala ya soka awaachie akina BaleMwanariadha mwenye kasi zaidi Duniani anayeshikilia ubingwa wa Dunia na ule wa Olympic Usain Bolt,bado hajakata tamaa ya kuitumikia Manchester United.
Bolt amejisifu kuwa anajua kucheza soka na anauweza kwa kiasi kikubwa sana, isipokuwa riadha ilimtoa mapema.
Je akisajiliwa Manchester United atacheza no? Au atakuwa anakimbia kimbia tu?
Cc,jimena, bitoz
Ni kweli kabisaNzuri kabisa, tunakula weekend tu