Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hakuna shakaNaomba nitoe kesho asubuhi
Hakuna shakaNaomba nitoe kesho asubuhi
Ndo ivopoa poa, ngoja tuheshimu na mawazo yao!!
Safi kabisaView attachment 369461View attachment 369462View attachment 369463
Kitu poa
Picha za mauaji ziweki kuna watu zinawatishaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
KaribuKwema wadau
Ni kweli kabisa, zisiwekwepoa poa, ngoja tuheshimu na mawazo yao!!
Naweka anaburutwa uchi ana kiba100Ni kweli kabisa, zisiwekwe
Ha ha ha mi sio mjenzi wa madaraja, kumbe nilifanya la maana kutozifatiliaKwenye ujengaji wa madaraja
NakeshaUsilale tu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hizo hapana kabisaNaweka anaburutwa uchi ana kiba100
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
Jamaa nasikia hadi leo anashikilia rekodi ya kuwa Rais mbumbumbu kuliko wote barani Africa...Koplo huyo nasikia elimu yake haifiki drs la 7[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hizo hapana kabisa
Picha za mtoto wa Sadam zimewaogopesha VijanaNi kweli kabisa, zisiwekwe
Tumeishaumia [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nakesha
Hahaha kina Shululu haoArsayNO keshapigwa 1
Wapi kaka ake Lulu?
.......
Hongera dadake, naona umetupia kilaini golini bila ya beki wala kipa [emoji4] [emoji4]View attachment 369416
72K katika ubora wake
Umepotea sana braza, kulikoni?Habari ya usiku huu Wapendwa team Makapuku!
[emoji106][emoji106][emoji106]Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7.
Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14
Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!!
Inakuaje jombaa, kwema?Ni picha zenye nakshi ya kipekee humu JF. Mara kadhaa huwa nahisi ni picha halisi kumbe ni hisia tu.