Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbaliDuuh...hongera zako
Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbaliDuuh...hongera zako
View attachment 369416
72K katika ubora wake
Inabidi akeshe hapa maana ndio sehemu pekee anayoweza pata mb bureHakuwa na mb
Yako sawa, naona umeadimika kweli kweliNi nzuri sana madam. Maisha vipi?
Nambie kaka. Mzima wewe?Mwana mpotevu
Kazi zinabana hadi nakosa mda wa kuingia huku, lakini naamini tuko pamoja madam.Yako sawa, naona umeadimika kweli kweli
ukajilia pweza gizaniAsante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbali
Haswaaaaukajilia pweza gizani
Go Go Go Simbaaaaaa
Salama mkuuNambie kaka. Mzima wewe?
Nzuri mkuu,vp weekendHabari ya usiku huu Wapendwa team Makapuku!
Tumewapoteza Vibaya sana,tunapanda kitonga, wao wanaitafuta kibamba, hapo wapi na wapi
Walikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st elevenWe ni ase8 wewe au unehama timu siku hizi?
Ha haWalikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st eleven
Hivi tofauti na shule hizi hesabu huwa mnazitumia wapi katika maisha ya kawaida??Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7.
Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14
Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!!