Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Tumewapoteza Vibaya sana,tunapanda kitonga, wao wanaitafuta kibamba, hapo wapi na wapi
...........
Tumewapoteza Vibaya sana,tunapanda kitonga, wao wanaitafuta kibamba, hapo wapi na wapi
Hatuna shida ya kuwajuaHODI hawa watu wako huku?
View attachment 369439
View attachment 369440
View attachment 369442
View attachment 369443
View attachment 369444
View attachment 369448
View attachment 369450
View attachment 369451
Nani anawajua hawa
swissme
Mtapigwa vibaya sanaMechi ya lens na arsenal, ndio imeanza
Wapi nukuu?Nzuri mkuu,vp weekend
Kwenye ujengaji wa madarajaHivi tofauti na shule hizi hesabu huwa mnazitumia wapi katika maisha ya kawaida??
Usilale tuMtapigwa vibaya sana
Visa na Mikasa:
Tutakuwa tunaangazia visa na mikasa vilivyowahi kutokea Duniani japo kwa ufupi.
Leo tunaanza na Mkasa wa Samuel K. Doe
Alizaliwa huko May 6 mwaka 1951 na kufariki 1990 huko Liberia.
Alikuwa ni koplo wa Jeshi la Liberia ambapo alimpindua Rais wa nchi yake William Tolbert na kuchukua madaraka na kujipa Urais wa nchi hiyo mwaka 1980.
Alimuua Rais na kumkatakata viwiliwili kisha kumtembeza kwenye mitaa ya Monrovia, Liberia.
Baada ya kuingia tu madarakani akafanya ziara yake ya kwanza nchini Marekani na hivyo kuzua maswali kuwa mapinduzi aliyoyafanya yalibarikiwa na Marekani.
Alitumika na Marekani katika vita baridi, pia katka utawala wake alibadilisha umri ili agombe Urais kwa kuwa katiba ilikuwa haimruhusu. Alitawala kwa mkono wa chuma ambapo Wapinzani wake zaidi ya 50 waliuwawa katika utawala wake.
Alitawala kwa miaka 10, kuanzia mwaka 1980 mpaka 1990, ambapo alipinduliwa katika mapinduzi yaliyoongozwa na Charles Taylor wa Ivory coast ambapo alikamatwa na kuanza kuchinjwa kiungo kimoja baada ya kingine kama masikio, vidole huku akiwa bado mzima kama alivyofanya kwa Rais wake. Baada ya hapo mwili wake ulitembezwa mitaa mbalimbali ya Monrovia. Huo ndio ukawa mwisho wa Samuel Doe nchini Liberia. Ambapo aliingia madarakani kwa upanga na akondoloewa kwa upanga pia.
Kwa leo dawati la Visa na Mikasa halina la ziada. Bitoz tunategemea picha toka kwako.
Tukutane next time!!
Naomba nitoe kesho asubuhiWapi nukuu?
Safi sanaVisa na Mikasa:

Ni picha zenye nakshi ya kipekee humu JF. Mara kadhaa huwa nahisi ni picha halisi kumbe ni hisia tu.HODI hawa watu wako huku?
View attachment 369439
View attachment 369440
View attachment 369442
View attachment 369443
View attachment 369444
View attachment 369448
View attachment 369450
View attachment 369451
Nani anawajua hawa
swissme
safi sana hizo AvatarNi picha zenye nakshi ya kipekee humu JF. Mara kadhaa huwa nahisi ni picha halisi kumbe ni hisia tu.
poa poa, ngoja tuheshimu na mawazo yao!!View attachment 369461View attachment 369462View attachment 369463
Kitu poa
Picha za mauaji ziweki kuna watu zinawatishaga
![]()
![]()
![]()
..............