Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#
Madiba pia alionesha mapenzi makubwa kwa mazingira. Nakumbuka siku moja tukiwa tunatazama mazingira ya ziwa manyara na aliniambia kwa masikitiko kwamba mazingira yale ya kijani kibichi ndio yalikuwa mazingira ya kwao kabla hajaenda gerezani. Alisikitika sana kwamba mazingira hayo yameharibiwa kwa kisingizio cha maendeleo.
Haya yalisemwa na na barozi Ami Mpungwe alipokuwa akimweleza Rais wa kwanza wa Africa Kusikia(mweusi) Nelson Mandela, aliyeiongoza nchi hivyo kuanzia mwaka 1994 hadi 1999.

Mandela alifariki Dunia Dec 5,2013. Barozi Mpungwe alizaliwa mwaka 1950 na aliwahi kuwa barozi wa wa kwanza wa Tanzania nchini Africa kusini, baada ya Mandela kuchaguliwa kuongoza taifa hilo
 
1469253219795.jpg
1469253224964.jpg

......................
 
NUKUU NO 2#

Tangu askofu Aloysius Balina apate daraja la upadre mwaka 1971, alikuwa kiongozi madhubuti wa kiroho pia hakubagua watu na alikuwa mwadilifu katika shughuli zake zote za maendeleo.

Taifa halitamsahau. Alisaidia serikali katika masuala mengi yanayohusu afya na Elimu, akishilikiana vema katika kutafuta wafadhili mbali mbali kutoka ndani na nje ya nchi kukisaidia chuo kikuu cha Bugando, jijini Mwanza.

Haya yalisemwa na Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Nov 11,2012,wakati wa mazishi ya askofu wa jimbo la shinyanga Aloysius Balina, kilichotokea Nov 6,2012
 
1469254042090.jpg
1469254048770.jpg
1469254053754.jpg

........,.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom