Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Haya ngoja tusubirie maana hakuna namna10 kubwa zita kuja nikitoka kwenye Convention ya Republican hapa Cleverland. Nawaaamnia sana wakuu
Haya ngoja tusubirie maana hakuna namna10 kubwa zita kuja nikitoka kwenye Convention ya Republican hapa Cleverland. Nawaaamnia sana wakuu
Wiki za mwanzoni top 10 ije hadi weekend kufidia siku hizi ulizoadimikaHahahaha
Tuta fanya mpango
Wiki za mwanzoni top 10 ije hadi weekend kufidia siku hizi ulizoadimika
Halafu nasikia umeoa mbona hukutupa kadi??
Kwazile skendo za picha za uchi.....kuoa ni kipajiWiki za mwanzoni top 10 ije hadi weekend kufidia siku hizi ulizoadimika
Halafu nasikia umeoa mbona hukutupa kadi??
Ha ha ha ha huu utetezi kiboko kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Hizo ni fununu tuuu
Kama Ningeoa basi we ungekuwa usha olewa
Mmmh we hujapata tuKwazile skendo za picha za uchi.....kuoa ni kipaji
![]()
![]()
![]()
.........
Ntashusha mzigo kesho asubuhi.. maana nnasikia uchovu baada ya kufanya kazi sanaa.Bila shaka
Poa ila itabidi ushushe baada ya mi na Mussolin5 kumaliza ili tupate kuzisoma kwa upole kabisaNtashusha mzigo kesho asubuhi.. maana nnasikia uchovu baada ya kufanya kazi sanaa.
Hvyo nawatakieni usiku mwema wote
Nawe pia, mbona leo watu wanalala mapema hiviUsiku mwema kwenu wote
na kwako pia!!Usiku mwema kwenu wote
Hata mi sijui kwanini nasikia usingizi mapema hiviNawe pia, mbona leo watu wanalala mapema hivi
Asantena kwako pia!!