Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2# . . Viongozi hawana budi kuamua ni upande gani wanaosimamia na kama wapo upande wa wafanyakazi na wakulima, hawawezi kujiweka kando katika shughuli za wananchi, haya yalisemwa na Edward Sokoine, Dec 1971 katika mkutano wa TANU dar es salaam,. Mkutano uliitishwa na viongozi wa Chama hicho kuwashukuru wafanyakazi walioshiliki sherehe ya miaka kumi ya Uhuru wa Tanganyika. Kwa wakati huo, Sokoine ambaye amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania, alikuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais. Sokoine alizaliwa Agosti 1,1938 na kufariki Dunia April 12,1984
 
Mbona mapema au vuguvugu la vyeti feki limekukaba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawanipati hao, shughuli zangu haziusishi vyeti
Muda huu?
Sijiskii poa sana ndugu, nna kijihoma hapa nataka niwah kupumzika
 
NUKUU NO 2# . . Viongozi hawana budi kuamua ni upande gani wanaosimamia na kama wapo upande wa wafanyakazi na wakulima, hawawezi kujiweka kando katika shughuli za wananchi, haya yalisemwa na Edward Sokoine, Dec 1971 katika mkutano wa TANU dar es salaam,. Mkutano uliitishwa na viongozi wa Chama hicho kuwashukuru wafanyakazi walioshiliki sherehe ya miaka kumi ya Uhuru wa Tanganyika. Kwa wakati huo, Sokoine ambaye amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania, alikuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais. Sokoine alizaliwa Agosti 1,1938 na kufariki Dunia April 12,1984
R I P Sokoine
 
Back
Top Bottom