Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Sina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha.
Sawa wifi, wana laana hao vijana
Nimefurahi kukuona upoPowaa bwana shululu
Ahsante!!Asante sana na karibu wala hujachelewa
Ila kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani.Apumzike kwa amani
Kazi ya urais sio nyepesi
Usijali, siku bado haijaishaSamahani kwa kuchelewa.
Leo katika Historia:
1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11.
Asante kwa historia, tusisahau pia na baridi la rungwe, mafinga, makete, njombe, mbeya na lushotoSina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha.
Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historiaSina la ziada toka maktaba kwangu, tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa baridi kali la Arusha.
sawa mkuu...Usijali, siku bado haijaisha
Happy Birthday TonnyLeo katika Historia:
1986 - Anthony Annan anazaliwa.
Ni mchezaji wa kiungo toka nchini Ghana.
Happy Birthday SaraLeo katika Historia:
1991 - Sara Sampaio anazaliwa.
Mwanamitindo mashuhuri toka nchini Ureno.
Laana kubwa sanaSawa wifi, wana laana hao vijana
Kwavile wanachakachua na haki haizingatiwi ipasavyoIla kwa nchi nyingi za Afrika hiyo kazi ni nyepesi na ndio maana kila kukicha katiba zinabadilishwa ili waendelee kudumu madarakani.
Leo atika Historia:
1944 - John Atta Mills anazaliwa.
Ni rais wa 3 wa Ghana. Alifariki mwaka 2012.
Kafanana na Mugabe ila ye ni hendsam
Samahani kwa kuchelewa.
Leo katika Historia:
1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11.
Leo katika Historia:
1979 - Andriy Voronin anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani toka Liverpool na timu ya taifa ya Ukraine.