lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu bonge au aliyejaliwa mkia
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu bonge au aliyejaliwa mkia
.............
Mi mzee wangu tangu kitambo alitupatia salam flan tofauti na hiyo so sikuizoea hiyo shikamoo kiviile nlipata tabu sana kujilazimisha kwa watu wengine hiyo shikamooHalafu kuna watu usipowasalimia hivyo wananunaaa yani mtu anakusemea mpaka kwenu kuwasiku hizi unajiona umekuwa unamsalimia tu kama mnalingana
Tatizo sio home.....Mi mzee wangu tangu kitambo alitupatia salam flan tofauti na hiyo so sikuizoea hiyo shikamoo kiviile nlipata tabu sana kujilazimisha kwa watu wengine hiyo shikamoo
Pamoja sana wifi akeAsante my wifi! Tupo pamoja
Tuko pamoja sana dada...Hapo safi kabisa kaka
Kwetu tuna sifa ya kutunza vilivyo vyetu ndio maana najivunia kuwa na makaka bora kama nyie
Nimemuona nyuma ya pazia anasambaza likes kama hana akili nzuri
One loveTuko pamoja sana dada...
Ndio nami nimepata [emoji106] toka kwake ila sasa hapostNimemuona nyuma ya pazia anasambaza likes kama hana akili nzuri
Asante sana na karibu wala hujachelewaSamahani kwa kuchelewa.
Leo katika Historia:
1970 - Bwawa la Aswan lakamilika huko Misri baada ya ujenzi wake kuchukua miaka 11.
Apumzike kwa amaniLeo atika Historia:
1944 - John Atta Mills anazaliwa.
Ni rais wa 3 wa Ghana. Alifariki mwaka 2012.