Hahahaha alafu ukimsubiri daktari aseme appetite nayo unakuta ishapoteaDaktari hajasema
Kula matunda bongo ni anasa, hasa awamu ya 5 ya kubana matumiziHahahaha alafu ukimsubiri daktari aseme appetite nayo unakuta ishapotea
Yanapigwa jua wakati gan, wakati yanaletwa mjini ama yanapouzwa?Yanapigwa sana na jua barabarani na hayana radha kabisa
Hii picha ya mwaka Jana,jk kakalia kiti cha ikulu
Ni kweli kabisa jamaa anabana sana uchumi wa mfuko matunda yamegeuka anasaKula matunda bongo ni anasa, hasa awamu ya 5 ya kubana matumizi




YanapouzwaYanapigwa jua wakati gan, wakati yanaletwa mjini ama yanapouzwa?
Ni kweli japo sio kote, hapo sasa ndo inabidi uwe selective kidogo kwenye kuchagua sehemu ya kukunuaYanapouzwa
Nimeona Kiwi, strawberry enjoy your fruit salad
Mi pia naupendaWimbo mzuri sana huo
Bora tunywe mvinyoKula matunda bongo ni anasa, hasa awamu ya 5 ya kubana matumizi
tu maana matunda yamo humo humo
Basi muwe mnanunua asubuhiYanapouzwa
Selfie na prezidaa wa nchi