Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio mchezo menu hiyo+sukari
Sio mchezo menu hiyo+sukari
Sijambo... Nafurahia uwepo wako nduguSalama bwana briz! Hujambo
Taifa la kindezi kila kitu sawa na mazoezi ya kunywea uleziKabisa bitozi, mimi ndiyo huwa nachoka kabisa
Sawa shemTuko pamoja sana shemeji yangu....
Kwaguru ndio nini vile?Kumbe ww kwaguru
![]()
![]()
![]()
![]()
........
YeahOk, twende ki TBT zaidi sio..
Asante sanaSijambo... Nafurahia uwepo wako ndugu
Demu bonge au aliyejaliwa mkiaKwaguru ndio nini vile?
Vp lizzbettieSawa shem
Halafu kuna watu usipowasalimia hivyo wananunaaa yani mtu anakusemea mpaka kwenu kuwasiku hizi unajiona umekuwa unamsalimia tu kama mnalinganaHizi salamu za kurithisishwa ni shida sana
Hahahaa usiogope kunipa na mie mauzoefu mkuuHapana mkuu nimesoma huu utafiti kwenye gazeti tu...hahahhahah
Ngoja kwanza nipate uhakika wa kesho ijumaa nisijeharibu bureHii ipo![]()
Hii aibu haivumiliki kabisa hapo ni wapi?
Hahhaha siwez kuidefine vizuri aisee... Hiyo WCE nd nin tena?Aiseee umetisha sanaaa
Kunimiss kipekee kukoje? Hiyo haiwezi kuwa tbt ila inaweza kuwa WCE
Dah taanesiko katika ubora wao...





Hapo safi kabisa kakaDada wifi yako yuko mazoezi kidogo ila nashukuru Mungu ana hali njema kabisa...
Poa sana, kukumiss tuUko poa my wifii
Kama kale kademu kako kenye figa namba mokoDemu kimbaumbau asiye na mkia ht wa nyau
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Powaa bwana shululuVp lizzbettie
Asante my wifi! Tupo pamojaPoa sana, kukumiss tu