briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Hahahaha ndo mana kuna watu hawapendi kabisa kuitumia hiyo salamNi kweli ila kwa jinsia tofauti i naleta ukakasi kidogo hasa ukizingatia jigrafia ya uvaaji wao!
Hahahaha ndo mana kuna watu hawapendi kabisa kuitumia hiyo salamNi kweli ila kwa jinsia tofauti i naleta ukakasi kidogo hasa ukizingatia jigrafia ya uvaaji wao!
Tuko poa sana ndugu yangu...me sijambo hofu na mashaka ni wewe uliye hukoooooo mbali na upeo wa macho yangu!
Poa poa vp hali ya hewa huko chuga naskia ni barid ya hajaTupo pamoja sana mkubwa na mimi pia nafurahi kukuona ukiwa poa..
Shem nakusalimu...Umekula chapati na maharage?
U hali gan bibie?Umekula chapati na maharage?
Ni balaa babuu haifai kabisa..Poa poa vp hali ya hewa huko chuga naskia ni barid ya haja
Duh poleni, lakini ni hali ya hewa mujarabu kabisa kwa kilimo cha watotoNi balaa babuu haifai kabisa..






MarhabaaaaaShikamooni...
Poa Briz habari yako?Habari zenu humu ndani???
Ndio maana yakeMarhabaaa, shikamoo na we pia... Hivi mkuu ni kweli definition ya shikamoo ni niko chini ya miguu yako ama??
Ndio leo ni Thursday mkuu hivyo ni mwendo wa tbt tu maana hamna namna nyinginePicha za TBT tena??? Aksante kwa magazeti.. Umeamkaje lakin?
Nipo safi kabisaJimena upo
Hahahahha wanasema haya ndiyo matokeo ya mwezi wa 8 na 9 kina mama wengi kushindwa kutema mate kwa mbele na kutemea kwa pembeni....Duh poleni, lakini ni hali ya hewa mujarabu kabisa kwa kilimo cha watoto
![]()
KaribuAsante sana kwa magazeti
WifiiiiiUmekula chapati na maharage?
Ni njema ndugu, leo nlikumiss kipekee kabisa sijui ndo mambo ya TBT hayaMarhabaaaaa
Poa Briz habari yako?

Afu walituachia sisi ila sidhani kama wao bado wanaendelea kuitumiaNdio maana yake
Chezea waarabu wewe
+sukariUmekula chapati na maharage?
Ok, twende ki TBT zaidi sio..Ndio leo ni Thursday mkuu hivyo ni mwendo wa tbt tu maana hamna namna nyingine
Hizi salamu za kurithisishwa ni shida sanaNdio maana yake
Chezea waarabu wewe
Nikiwemo mimiHahahaha ndo mana kuna watu hawapendi kabisa kuitumia hiyo salam