Marhabaaa, shikamoo na we pia... Hivi mkuu ni kweli definition ya shikamoo ni niko chini ya miguu yako ama??Shikamooni...
Poa sana mkubwa...kwema?Habari zenu humu ndani???
Marahaba hujambo dogo?Shikamooni...
Picha za TBT tena??? Aksante kwa magazeti.. Umeamkaje lakin?View attachment 368593View attachment 368594 mpaka hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti
Nawatakia siku njema na msisahau kutuma picha zenu za TBT
Asante sana QUIGLEY kwa udhamini huu mnono
Na sasa uwanja ni wa Mussolin5
Shikamoo= Shika Makalio yako oyoooMarhabaaa, shikamoo na we pia... Hivi mkuu ni kweli definition ya shikamoo ni niko chini ya miguu yako ama??
Nzuri kabisa, vp weweNjema mkuu
Jimena upoMorning family
Kwema sana, nimefurahi kukuona tena brazaPoa sana mkubwa...kwema?
Marhabaaa, shikamoo na we pia... Hivi mkuu ni kweli definition ya shikamoo ni niko chini ya miguu yako ama??
Asante sana kwa magazetiView attachment 368593View attachment 368594 mpaka hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti
Nawatakia siku njema na msisahau kutuma picha zenu za TBT
Asante sana QUIGLEY kwa udhamini huu mnono
Na sasa uwanja ni wa Mussolin5
me sijambo hofu na mashaka ni wewe uliye hukoooooo mbali na upeo wa macho yangu!Marahaba hujambo dogo?
Umekula chapati na maharage?Shikamoo= Shika Makalio yako
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Tupo pamoja sana mkubwa na mimi pia nafurahi kukuona ukiwa poa..Kwema sana, nimefurahi kukuona tena braza
Nimekula Tengu na togwaUmekula chapati na maharage?