Makapuku Forum

Makapuku Forum

1469025052375.jpg
 
NUKUU NO 1# . Hatutajali chochote kuhusu vikwazo venye masharti ya kutupiga marufuku kuingia Ulaya. Sisi si wenyeji wa Ulaya. . Haya yalisemwa na Rais wa Zimbabwe, ROBART MUGABE, Mugabe alizaliwa February 21,1924, ameiongoza nchi hiyo tangu Dec 31,1987. Mugabe alishiriki katika harakati za kusaka uhuru wa nchi yake, huku jamhuri ya Muungano wa Tanzania,chini ya baba wa Taifa mwl Julius kambarage nyerere ikifanikisha harakati hizo
Mugabe katika ubora wake
 
NUKUU NO 2# . . Tunadhani wakati mwingine kwamba umaskini ni kukabiliwa na njaa, kukosa mavazi na makazi. Lakini umaskini wa kutengwa, kutopendwa na kupuuzwa ni mkubwa zaidi. Ni lazima tuanze kuwekeza juhudi katika makazi yetu kurekebisha umaskini wa namna hii. . . . Haya yalisemwa na mtawa mashuhuri Duniani, Mama Teresa wa Calcutta. Mama Teresa alizaliwa Agosti 26,1910 na kufariki Dunia September 5,1997. Anatajwa kuonesha upendo wa hali ya juu kwa masikini na wasiojiweza maeneo mbali mbali Duniani
Aliongea point sana mama Theresa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom