Edo kasema ukweli kabisa..pogba sio wa thamani kiasi cha iyo pesa..
DarassaNi wimbo wa nan?
Poa, ngoja niutafuteDarassa
Nachukia sana habari kuhusu huyu jamaaView attachment 368123Huyo visikio vya popo hana thamani hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Fanya hivyoPoa, ngoja niutafute
Wanamkuza tu..sio bora hivyo.View attachment 368123Huyo visikio vya popo hana thamani hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Domourinho anaharibu..mi huyu visikio sioni km ana jipya zaidi ya style za nywele na masikio ya sunguraNachukia sana habari kuhusu huyu jamaa
Naisubili hapa hapaNawaletea nukuu ya leo hivi punde tu
NUKUU NO 2# . . Tunadhani wakati mwingine kwamba umaskini ni kukabiliwa na njaa, kukosa mavazi na makazi. Lakini umaskini wa kutengwa, kutopendwa na kupuuzwa ni mkubwa zaidi. Ni lazima tuanze kuwekeza juhudi katika makazi yetu kurekebisha umaskini wa namna hii. . . . Haya yalisemwa na mtawa mashuhuri Duniani, Mama Teresa wa Calcutta. Mama Teresa alizaliwa Agosti 26,1910 na kufariki Dunia September 5,1997. Anatajwa kuonesha upendo wa hali ya juu kwa masikini na wasiojiweza maeneo mbali mbali Duniani