Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa
Dah kweli adui muombee njaa!
Atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa
Dah kweli adui muombee njaa!
Hahahaha umetisha sana..Nitajiandaa kwa simu, ipad na laptop.
Nitakuwa na laini zote kwanzia Smart, Halotel, Tigo, Voda na Airtel.
Dally ni sheeedah!!!
Hahahahahahahahahahaha mi pia siku hiyo ntatumia vitu viwili au vitatuNitajiandaa kwa simu, ipad na laptop.
Nitakuwa na laini zote kwanzia Smart, Halotel, Tigo, Voda na Airtel.
Tungekuwa mbali sanaUbinafsi ndio unatumaliza! Najiuliza hivi tungependa nchi yetu kama wapalestina wanavyoipenda nchi yao tungekuwa wapi???
Tena wakiiba idea yako usipokuwa makini wanakupoteza!!!Haya makampuni makubwa yana siri nyingi, wameiba sana idea za watu
Mimi naomba Uhai, Uzima na nafasi.tuombe Uhai na uzima.
Angekuwa ameisaidia sana dunia.Huyo jamaa mshamba sana, yani katika makosa aliyofanya hilo ni kosa kubwa sana
Hilter sio wa kumkosa
We acha tu, ubinafsi na zaid ya cancer tanzania na afrika yoteUbinafsi ndio unatumaliza! Najiuliza hivi tungependa nchi yetu kama wapalestina wanavyoipenda nchi yao tungekuwa wapi???
Ila kweli, polisi wanajifungia hivyo, something is wrong kati ya mapoti na raia, either hawatendi haki....
No!!!....la mweweDua la kuku...

Ni kweli kabisa, tena unakuta hujulikani wanakuzima tu kama taaTena wakiiba idea yako usipokuwa makini wanakupoteza!!!
Umeona eeh!!!....hata mkiacha post 50 nasukuma
Dah kweli adui muombee njaa!
Nitajiandaa kwa simu, ipad na laptop.
Nitakuwa na laini zote kwanzia Smart, Halotel, Tigo, Voda na Airtel.
usitutishe!!!Wanaogopa kuvamiwa na majambazi eti..Ila kweli, polisi wanajifungia hivyo, something is wrong kati ya mapoti na raia, either hawatendi haki....
Wala siwatishi ila ndio ukweli huo![]()
![]()
![]()
![]()
usitutishe!!!
ahksante!!Hahahaha umetisha sana..
Long term PlansHahahahahahahahahahaha mi pia siku hiyo ntatumia vitu viwili au vitatu
Amen!!Mimi naomba Uhai, Uzima na nafasi.
Haikuwa bure!! Lazma alikuwa mwanachama wa vyama vya siri.Angekuwa ameisaidia sana dunia.
Lakini mtu kama Hitler lazima alikuwa na nguvu za ulinzi katika ulimwengu wa roho.