Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Naona unapiga mbege ya ilala
Mimi siyo bahili......nikiwa na upeche natumia
YOLO
.............
Naona unapiga mbege ya ilala
Pesa yake matumizi. Hakuna cha zaidiKwani nini kazi ya Hela???
Halafu inaonekana ni ya moto.....Naona unapiga mbege ya ilala
Safi kabisa, tunatafuta hela ili tutumie maana maisha yenyewe ndo haya haya![]()
![]()
Mimi siyo bahili......nikiwa na upeche natumia
YOLO
![]()
![]()
![]()
.............
Kuna watu wabahili utafikiri wataenda kutumia pesa zao mbinguniSafi kabisa, tunatafuta hela ili tutumie maana maisha yenyewe ndo haya haya
Y O L OKuna watu wabahili utafikiri wataenda kutumia pesa zao mbinguni
.............
Salama wii, habari ya jioni?Habar zenu wapendwa???
Ni poa my wiiSalama wii, habari ya jioni?
Hivyo hivyo tu tutafikaTunabana nayo hivyo hivyo
Possible kabisa PapaaHaiwezekani kuwa invisible rich man???
Kwa asilimia kubwa sana uko sahihiWanasema kuwaza ni ile hali ya kurudia mawazo ya matatizo yanayokuandama HALAFU kufikiri ni kule kuskut kutatua shida au kubuni kitu au idea.
Je ni sawa???
Mbona ni gari kali tu na kiyoyozi natural ??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaishee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Njema shemHabar zenu wapendwa???
Safi shem, u hali gan??Habar zenu wapendwa???
Shwari mkuu, habari ya wewe?Habari za wakati huu family