Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Je vais bienShwari mkuu, habari ya wewe?
Je vais bienShwari mkuu, habari ya wewe?
Me mzima shem.. Niadje wewe??Safi shem, u hali gan??
Mkuu inabid unipe kwanza tuition hiyo lugha imenipitia kushotoJe vais bien
Daaah wewe umetunyima uhondo wa 10 kubwa bhanaWakuu natumain woote mko poa
Na wamiss sana
Asante mie nko pouwaaaWakuu natumain woote mko poa
Na wamiss sana
Mzee wa kumi bora, karibu tenaWakuu natumain woote mko poa
Na wamiss sana
Hahahaaa mkuu papaaaa werrason ndo mtaalam zaid ntamwambie tuwe tunanoa kidogo kupitia yeyeMkuu inabid unipe kwanza tuition hiyo lugha imenipitia kushoto
Vingongo ndo nini?Leo watu bize au wametekwa na vingongo?
..............



Mi niko poa shem lake, za kuadimika? Unatunyima nin huko?Me mzima shem.. Niadje wewe??
Duh sijamgundua, ni nan?![]()
Unahisi huyu atakuwa nani?
..............
Busy sana aisee, saa tatu nitawaletea nukuu,bado nimebanwa sanaLeo watu bize au wametekwa na vingongo?
..............
Ahsante niko Ibiza kwa mapumzikoMzee wa kumi bora, karibu tena
Huwa napenda jinsi maneno yake yanavyotamkwa ntatafuta mda nijifunze kidogoHahahaaa mkuu papaaaa werrason ndo mtaalam zaid ntamwambie tuwe tunanoa kidogo kupitia yeye
Haha poa, hiyo vacation kivyakovyako au na kampani?Ahsante niko Ibiza kwa mapumziko
Ntarud sku mbili hvi zjazo kwa kasi kubwaaa kabsaa