JambiloDuh sijamgundua, ni nan?
Sawa KikwachuAhsante niko Ibiza kwa mapumziko
Ntarud sku mbili hvi zjazo kwa kasi kubwaaa kabsaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Jambilo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.........
Jamaa nasikia ni Nyapinyapi haachi kitu ht Vikudwi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Teh teh haya maneno yako unayatolea wap dah, inabidi uwe unayatafsiri mana nimetoka kapa hapoJamaa nasikia ni Nyapinyapi haachi kitu ht Vikudwi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.........
Teh teh haya maneno yako unayatolea wap dah, inabidi uwe unayatafsiri mana nimetoka kapa hapo
[emoji111] [emoji111]![]()
Kudwi= Demu mchafu
............
[emoji111] [emoji111]