makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,972
- 104,412
Makapuku oyeeee...
Nimewamiss watu wa humu ndani,
Vip hali zenu lakini!!?
Nimewamiss watu wa humu ndani,
Vip hali zenu lakini!!?
KikudwiEti nauliza Kikudwi chako vp
![]()
![]()
![]()
![]()
...............

Fresh tu karibuMakapuku oyeeee...
Nimewamiss watu wa humu ndani,
Vip hali zenu lakini!!?
Cristina ana mambo ..
Fix za Bitoz.....ulipitwa na kamusi Jana acha tukutanie bila ww kuelewaKikudwi![]()
Cristina ana mambo ..![]()
![]()
![]()
Nmetania tu, mashabiki wa robot msinikimbize bure

Mussoli, mussolin, mbona kila sector anakaba yeye, anapiga angle muhimu, mviziaj kuliko, filipo inzaghi,rud van nisteeroy na kijana wao chicharito..Nani alifanikiwa kupata 70k?? Ndo nimerudi sasa

Fresh, vip weekend imekwendaje..Fresh tu karibu
Same to u, mzee wa wenge, masebene na kila kitu.Ngoja lewo niwahi kulala, Goodnight famile KF.
Vip kaka..
Hahaaaa mkuu mimi ni mkongwe nisiyefahamikaMkuu nawe mkongwe?
Naona posts zako haziki hata 4000!!!
Mnajifanya wajanja eehFix za Bitoz.....ulipitwa na kamusi Jana acha tukutanie bila ww kuelewa
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Kesho ndo ile siku ya kuamka kwa alarm na ukiiskia unatamani kuizimaNgoja lewo niwahi kulala, Goodnight famile KF.
Pole mkuu ndiyo changamoto za forumSiyo wote.......lkn idadi kubwa ya vingongo full nyodo
Ht mm thread zangu za mwanzo walinitukana sana mmojawapo ni Ngedere Ungabure alinitusi kwa kiingereza chake kichafu wkt sijamkosea MTU
.........................
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kudwi= Demu mchafuMnajifanya wajanja eeh
Niliona sema nimesahauKudwi= Demu mchafu
Kishkwambi= Demu mapepe
................