Makapuku Forum

Makapuku Forum

FIX ZA BITOZ:
Ngongo= Mkongwe/mzee/ajuza
Kibatari= Mmbea
Nyapinyapi= mtu mkware
Mkushi= Mtu kiherehere
Kikwachu= Mpenda sifa/kick
Kibwanyinyo= Mtu
mwenye shobo

Haya Vikwachu Fix za Bitoz zitaendelea kesho muda km huu......msisahau kuvisalimia Vikudwi vyenu...mi nipo na Kishkwambi changu tunakula ubeche
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Uswahilini noma[emoji12]
 
Magumu sana hayo maneno, kuyakariri ni kazi
 
Back
Top Bottom