Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Usitaje kabisa nafanya mpango nirudishe nyuma siku iwe ijumaa tenaKesho ndo ile siku ya kuamka kwa alarm na ukiiskia unatamani kuizima![]()
![]()
Nite

Usitaje kabisa nafanya mpango nirudishe nyuma siku iwe ijumaa tenaKesho ndo ile siku ya kuamka kwa alarm na ukiiskia unatamani kuizima![]()
![]()
Nite

Hahaaaaa mna point 6 zetuJidangaye tu. Sisi tuna Pereira
Hahaaaaa mna point 6 zetu
draw ndo ushindi wenu. Lazima tuwapige tuUkongwe ni uzee....Samahani mkuu kwani ukongwe ni nini?
Post na likes ziwe nyingi kwani tunalipwa?
chatting ni hobby tu kifupi imenipita kushoto
Haha kwani ulipitia hukuUsitaje kabisa nafanya mpango nirudishe nyuma siku iwe ijumaa tena![]()
??Ndio nilienda dinner nikashushia naHaha kwani ulipitia huku![]()
??
ila usimwambie mtuUsijali haijafika popote, hajaskia mtuNdio nilienda dinner nikashushia na![]()
![]()
![]()
ila usimwambie mtu
Kama ningekuwa napenda ku-post sana ingekuwa hivyo ... btw hii ni ID mpya baada ya kwanza kuiacha na nikawa naitumia kusoma tu bila ku-post wala ku-like chochote kwa muda mrefu tuUkongwe ni uzee....
Kutokana na umri kusogea hapo automatic posts na likes zingekuwa nyingi maana umeanza zamani
Anyway sikuwa serious kihivyo
Hahaaaaa habari ya Mane unaijua lakini![]()
![]()
draw ndo ushindi wenu. Lazima tuwapige tu
Hizo mbwembwe tu. Kwahiyo sasa hivi mnamtegemea Mane au hahahaHahaaaaa habari ya Mane unaijua lakini
AfadhaliUsijali haijafika popote, hajaskia mtu
Hahaaaa proud of new sign mkuuHizo mbwembwe tu. Kwahiyo sasa hivi mnamtegemea Mane au hahaha

Bailly, Henrik, IbraHahaaaa proud of new sign mkuu![]()
![]()
MhkitarianBailly, Henrik, Ibra
Bailly, Henrik, Ibra
Haya ngoja tuoneMhkitarian
Mtoto wa uswahili taabu kweli kweliKhaaaaaa kiswahili kama kilugha
Kavimbiwa mabogaEnzi zako hizo

Eti mkongwe underground tehHujulikani, na bado unajiita mkongwe?
Una post chache kuliko Makapuku
Una likes chache kuliko makapuku
Anyway hongera sana kwa ukongwe
Ngoja nikasome hadithi za leo sasaMhkitarian