Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,255
Medeama wametakata sana...
Hapo sawa.. nakusalimu ktk jina la bwana.
Mchungaji

Madeama piga hao..Medeama wametakata sana...
Mkuu vp,tupe matokeo huko taifaMedeama wametakata sana...
Nakuelewa sana mkuu, na wakati mwingine mpaka sikukuu unakuta mtu unapiga mzigoWengine hatunaga cha saturday mkuu
Matokeo pls, yeboyebo hawajakalishwa bado huko taifa mana naskia hao jamaa wanakipiga hatariMedeama wametakata sana...
KweliNakuelewa sana mkuu, na wakati mwingine mpaka sikukuu unakuta mtu unapiga mzigo
Madeama 1-1 YangaMkuu vp,tupe matokeo huko taifa
acha hizo Papaa

Huwa naitakia mema yanga but hawatutoi aibu cjui kwanini, ushibiki tz wataka moyoMadeama 1-1 Yanga
Dah!!! Mishe zinabana naingia kimachale toka jana!Piga kazi week end hii mpaka chumvi ikae, inaweka usiku kwenye orodha
Nawewe pia kufikia monday Chumvi iwe imeshayeyuka maana unaweka usiku

Baada ya kufwata ule ujanja niliokuelekeza umeona sasa umerud hewan