Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
SafiiiWikend leo wadau wako bize na familia
SafiiiWikend leo wadau wako bize na familia
Sure, Hauko peke yako wakwetu.Wengine hatunaga cha saturday mkuu
Hizi camera zetu hizi majanga matupu
1-1 mpira umekwisha.Mkuu vp,tupe matokeo huko taifa
1-1 mpira umekwisha na matumaini ya Yanga yamezikwa rasmi leo.Matokeo pls, yeboyebo hawajakalishwa bado huko taifa mana naskia hao jamaa wanakipiga hatari
alaa..kumbe sawa.![]()
also known as kikofia
wana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifaHuwa naitakia mema yanga but hawatutoi aibu cjui kwanini, ushibiki tz wataka moyo
Kimba ana kitu gani?Bitoz yanga hamna kitu hata medeama
Inasikitisha sana kuhusu hawa chura wa jangwani
Huo mwanga wa Tv TUHizi camera zetu hizi majanga matupu
Hahahaaa usikwepe bitozKimba ana kitu gani?
Tuanzie hapo
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi.Kimba ana kitu gani?
Tuanzie hapo
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Hatuna uzoefu wa kutoshaHahahaaa usikwepe bitoz
Huu mchezo hauitaji hasira
Hata mkijitoa sasa hamna shida hii ni mbinu ya kuwakomoa waliowafunga
Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi.![]()
Bado hatuna viwango vya kimataifa tz, bali zakutembelea mataifa, ufike wakati tuone aibu kujigambawana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifa
Shiiiiiiiii kimya....!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........